Recent content by mishale

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

    Why Ujiji?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

    Amechanganyikiwa!! Kama Mwalimu alivyotabiri kuwa kulizungumia Azimio la Arusha ni lazima uwe umechanganyikiwa!!! Pole kaka. Kutafuta umaarufu siyo kazi, kazi kuufanya uwe endelevu. Nakuombea Mola akupumzishe kwa amani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Januari ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote!

    Rais Prof. Muhongo hoyeee!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto atarejea bungeni? Naona makosa mengi katika maamuzi yake!

    Kwanini anakimbia Kigoma kaskazini jamani? Je nao hawana Imani naye? TUMWOMBEE.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Escrow yarudi bungeni kwa kishindo

    Siasa na kutoaminiana vitatumaliza. Mungu aiponye nchi yetu na uchochezi unaoendelea.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Escrow yarudi bungeni kwa kishindo

    Siasa na kutoaminiana vitatumaliza. Mungu aiponye nchi yetu na uchochezi unaoendelea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Alichojitabiria Zitto kimemtokea haraka

    Ni kama mazoea ya mwizi. A:mimba:Akikosa mtu wa kumwibia hujiibia mwenyewe. Msaliti pia huweza pia kujisaliti mwenyewe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Ni bahati kwa Tanzania kuwa na Maswi. Tume mbili kwa suala moja! Hata kama anajulikana kwa kiasi gani isingekuwa rahisi kupona.Tukubali Maswi ni mwadilifu hakuna mfano.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Tumefika pabaya! Tumezoea kudanganywa na watu waovu hasa watafuta umaarufu wa kisiasa. Siyo rahisi kusimamia Haki kwa kuwa tunamezwa na ushawishi wa kijinga kuumiza wengine.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Watapigana lakini hawatashinda!! Haki yako mbele za Mungu :smow:itaendelea kukulia. Isaya 54:17 imetimia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Hongera sana Kamanda Maswi. Hili ni funzo kwa wengi wanaoua vipaji vya Wazalendo kama wewe kwa njaa zao. Mungu akupe miaka ili uione Tanzania ya kesho.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    Haki imetendeka!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Zitto: Umekimbia Nini, Unafanya Nini?

    Hatadumu hata huko. Roho aliyonayo haiwezi kumwacha kutulia. Ni kama mwizi anapoamua kujiibia baada ya kukosa wa kumwibia. Mwisho mbaya.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Zitto: Umekimbia Nini, Unafanya Nini?

    Zitto kwishenini
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

    Bange!!
Back
Top Bottom