Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,344
- 9,845
Mkuu i am telling you it will be old same story, hakuna kitakachofanyika.
We talk too much,mpaka tunadharaulika.This nation needs a hitman (man of the people).
Mkuu i am telling you it will be old same story, hakuna kitakachofanyika.
Huu ujinga unafanyika tanzania tuu badala ya watuhumiwa kupelekwa mahakamani kujibu shtuma hizo wanasafishwa na wahusika wao hili dili la pesa za ESCROW uliwanufaisha vigogo wakubwa sana ndo maana wameshaanza kuwasafisha kuna ile kauli mwaga ugali na mimi nimwage mboga .lakini ni vema serikali ya ccm ikatambua wananchi wa sasa siyo wale wa zamani .UKAWA hii nafasi nzuri kujipanga kuchukua dola tusiposhinda uchaguzi huu basi tusitegemee tena kuja kushinda .
View attachment 252398
Hizi BAKORA 6 zinatosha kabisa kuindoa madarakani serikali ya ccm.
Tafadhali sana tupe listi yazo bakora! Hapo hazionekani vizuri.
Asante.
Kinacho nisikitisha ni jinsi wabunge wengine wa
ccm wanavyo shindwa kupata tafsiri ya kauli ya serikali kupitia Katibu mkuu kiongozi. Ujumbe anaotoa Sefue ni kwamba Ikulu imedharau azimio la bunge na zile taarifa za CAG na PCCB.
Nasikitika kwa vile wangekuwa wameijua tafsiri hiyo hata wao wangeungana na Serukamba na wabunge wa upinzani kuikona serikali katika jambo Hilo, lakini ukiona jinsi mishipa ya shingo inavyo wasimama kuitetea serikali unatambua kuwa hawa ni mbumbumbu hawajui kinachoendelea au watu walio uza utu wao na wa waliowachagua kwa kulambishwa sukari
Inakela
Ukiyastaajabu ya Ikulu utayaona ya Pinda. Sasa kama si Ikulu iliyowasafisha hao Mawaziri ni nani aliyefanya hivyo? Sefue kapata wapi madaraka ya kutamka hadharani kwamba hao mawaziri wamesafishwa!? Mbona hii Serikali imekithiri kwa usanii na kauli ambazo hazieleweki kwa Watanzania wali wengi?
Pinda: Si Ikulu iliyowasafisha mawaziri - Kitaifa
Kwa miaka hii 10 ni lini tuliwahi kuwa na Rais? Mimi kwa kweli sijui kama Tanzania yupo mtu wa aina hiyo!!Hilo linajulikana Mkuu, Rais kayakimbia majukumu yake sasa kamuachia Katibu wake ndiye awe anatangaza maamuzi ya Rais.
= Inakera
Katika hali isiyoeleweka leo Kafulila leo kazimwa Bungeni na Spika alipoulizwa Waziri Mkuu juu wa Wahisani kusitisha misaada na juu ya Serikali kulipa mabilioni kwa kampuni ya document za kughushi.