Recent content by Mirrey

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mume wangu PR Hotel sikia haya

    Yuko sahihi unapopata mtu wakukusikiliza unapata huyu mama anahitaji moyoni, huwezi jua pengine ndugu, marafiki walishamwambia aachane huyo mwanaume lakini yeye hasikii . Kwa hiyo hana mshauri mzuri. Mshauri badala ya kumvunja moyo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Huyo mchawi, duh
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Duh hiyo biashara ni ngumu sana, Yaani wanavuruga na amani kabisa katika familia, ila mimi naona huwa wanafanya makusudi,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Ni rahisi kusema km hayajakukuta, au wewe ndio km huyo mwanaume, utaona huyo dada ni mchoyo . Hata Bible ineleza wazi kuwa mwanaume atawacha wazazi wake ataandamana na mkewe. Ndugu 8 kwenye nyumba bado unamuita mchoyo mtake radhi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Moyo kuuma na kuishiwa pumzi

    Pia Kuna kitu kinaitwa heart palpitations, ukipata kiungulia moyo unapiga kwa nguvu pia, jaribu kuacha kula chumvi ya mezani, Sukari mbichi, vitu vyote vichachu , tangawizi, coffee, pilipili, kunywa maji mengii pia punguza stress jaribu kulala vizuri pia
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Hizi tezi dume zimekuwa ni shida jameni kwa wanaume wenye umri mkubwa, asalimia kubwa ya wanaume wanaojiweza wanavaa Pampas maana hawawezi kuzuia mkojo, hivi tiba imeshindikana kabisa? Au watu wanaenda hospital wakiwa wamechelewa . RIP baba yetu Sitta
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri, mke wangu amenunua kiwanja bila kuniambia

    Inawezekana hueleweki, tabia yako mbaya, akiangalia mbele haoni mwisho future, labda umeshakaza njee, ameona ajiwekee akiba ili siku ukiamua kwenda kwa mwanamke mwingine awe na pa kushika . Mimi namuunga mkono kabisa na kwa jinsi ulivyoandika inaonesha dhahili wewe unasababisha matatizo kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kufunga mwanamke msumbufu atulie

    Mie nikiona wewe ndio unashida baada ya kuumuona mkeo ni mzuri kwa unahisi anatongozwa wewe umejuaje? Punguza wivu wewe, pengine kwako ndio mzuri, kwa wengine ni wakaida ,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Binadamu wa kawaida hawezi kuporomosha matusi kihivyo bila kuwa na hofu ya Mungu, serikali ni chombo kikubwa nitashangaa km itashughulika na Mange labda kwa kumsaidia tu nikumpeleka kwenye nyumba ya vichaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

    Yani nyie wanaume hamna Huruma, hutaki kumuoa ila papuchi unataka. Ukija kwenye suala la uzazi wa mpango kijiti hata wanaume wanaweza kuiweka, kaweke wewe mwenye shida
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako wa kike anaposusa unamfanyeje?

    Hakutaki anakutafutia sababu tu ya kukuacha , achana nae tafuta mwingi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nani aligharamia ziara ya kawaida ya RC wa Arusha? Imegarimu Zaidi ya Milioni 30

    Mtoa mada wewe ni muongo, rate ya 120,000 ni ya mtu anaenda kwenye jiji sasa nataka nimuulize Loriondo ni Jiji au Wiliya? Wizarani ni 45000
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kufuta meseji ya WhatsApp uliyokosea kutuma

    Ndio ukome, ngoja mie niimbe boko wala wenzioooo eeeh eeeh eeeh boko wala wenzio boko nawe utaliwa eeeh.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimemnyoa mpenzi wangu nywele zake na mkasi na nimempiga marufuku kusuka kuanzia leo

    Sasa kama uliamua kuchukua sheria mkononi huku umekuja kutafuta nini? Mie naona ungeenda kuuliza polisi labda
Back
Top Bottom