Kamata-kamata ya Bodaboda na Bajaj mitaa ya Kariakoo kuna double standards, zipo zinazoachwa kwa wanaotoa kitu kidogo lakini zingine zinabebwa.
Meza bado zimepangwa njiani...
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her delegation have arrived at Wicknell Chivayo’s home to pay their last respects.
Cameras and mobile phones are not allowed, and there is a complete media blackout, according to state security agents at the residence.
Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
Shida ya kuwashughulikia Masikini badala ya kupambana na Umasikini ni kwamba kila mwaka unakuwa na maadhimisho ya kuondoa Machinga barabarani.
Safari hii kuna nini cha tofauti kitakachofanya wasirudi barabarani? Ulinzi mkali?
Tumbo lenye njaa linauma kuliko rungu la polisi.
Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu.
Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
TUKUMBUSHANE KIDOGO:
Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS...
Kwa sasa wanachama wa Chadema wanawasikiliza zaidi Mange Kimambi na Sativa zaidi ya wanavyosikiliza viongozi wao.
Chama kuendeshwa na wanaharakati ni hatari sana , na imefikia hapo kwa sababu hao wanaharakati ndio walioshawishi watu wengi kukichangia chama kwa ajili ya Mkutano wa Kamati Kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.