Recent content by Mirindamihigo

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wangoni na wamatengo mpo tayariii....!!!

    Naitaji mchumba(wakike) anayeishi songea nitapenda zaidi awe mmatengo au mngoni, sina haja na mvuto kwan mm navutia tu, elimu yoyote tu! Umri awe na miaka 18-22, aliyetayari anipm upesi tumeane campany am so lonely.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa Kikenya alipotaka ku..Aliniambia huku ananiangalia machoni!!. . . .

    Angenitengea like dat, ningebutua mpaka Akamba imuache bt cjakuelewa broh hivi nawe ultaka kuto.. Naye??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Joshua Nassari kwa Wanaarumeru - "Uadilifu Utashinda"!

    Imekaa vema sana!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    Jamani naomba tusilipuke, ukweli ni kwamba zitto kuutaka uraisi sio dhambi kwani yeye ameeleza wazi kuwa sio lazima agombee 2015..! Alichokosea yeye ni kutangaza katika kipindi hiki ambacho chama kinaitaji mshikamano ili kuchukua jimbo la A.mashrki kwan jambo hili litaleta mawazo tofauti ambayo...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ivi kitanda umekumbuka kutandika leo?

    Siwez kudanganya ni mara chache tu huwa natandika! Nakumbuka boarding nilitandika pale ukaguzi ulipoanza! Kwa uzoefu wanaume wengi ha2pendi au tunajisahau kutandika asubuhi..!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa RAISI

    Ntamuoa dada yako unayemlindalinda!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Am here once again...!

    Peoplezzz.....! 'power' kidumu chama cha ma....' 'habari zenyu bhana.....! Wouuraaaap.....!
Back
Top Bottom