Recent content by mir2

1. M

JamiiForums Tanzania Nani tena anabisha kuwa Lema hana hadhi ya kitaifa?

na mmoja wao aliolewa mwaka jana huko arusha na wanaume wa 3 hadi akalazwa mtmeru na aicc sababu ya hiyohiyo
midomo yao, now anaitwa kamanda wifi

2. M

JamiiForums Tanzania Nani tena anabisha kuwa Lema hana hadhi ya kitaifa?

unazungumzia kuiba, ulishawahi kuwaza gharama ya kurusha helkopta 3 nchi nzima ni sh ngapi? je hizo pesa zingetumika kununua vitanda na dawa hospitalini ulishawaza ni watu  wangapi wangepona?  au kuchonga madawati shule za huko vijijini wanakaa chini kibao
3. M

JamiiForums Tanzania Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

hahaha uwiiiiii umaniwahi full kupretend
4. M

JamiiForums Tanzania Umewahi Kuchunguza kwanini Nyoka hamdhuru Mtoto!?

wanyama ni wanyama tu hata binadamu ni sehemu yao ndio maana wewe ukiona mtoto wa simba,chui, nyati nk aliezaliwa jana yuko peke yake wala hukimbii tena waweza kumchukua eti ukamfuge kwako.
5. M

JamiiForums Tanzania Umewahi Kuchunguza kwanini Nyoka hamdhuru Mtoto!?

haya majanga
6. M

JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujifukiza udi, naombeni mnijuze wataalamu

jamani huwezi kupata saratani kweli khaaaaaaaa
7. M

JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndio mapenzi ya kisasa au ananipotezea muda?

no simaanishi kila ajaye mbele yako ufike naye huko bali yule anayeonyesha nia ya kuoa zaidi na muwe mshafika either stage ya kutambulishana etc
8. M

9. M

JamiiForums Tanzania Hivi unalijua hili......??

hahaha khaaa! tatizo sijui kwanini me wakitumika sana nanihh zao hazichubuki au kupungua kubaduilika kama za ke, otherwise na wao wangekuwa majanga pia hadi kufikia kuoa una kasindano ka mtoto
10. M

JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndio mapenzi ya kisasa au ananipotezea muda?

kufanya mapenzi kabla ya ndoa now days is very important, Mungu anisamehe
11. M

JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndio mapenzi ya kisasa au ananipotezea muda?

caring ni kipaji cha mtu kwa jinsi alivyolelewa, huyo sidhani hata kama ana afair nje bali caring hana wala hajui,anajali nafsi yake na mali zake zaidi. ukiweza kuyavumilia hayo go ahead, kwa lugha rahisi ni bahili pia
12. M

JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa njooni huku

nijuavyo mimi huwezi vua nguo kama huwezi jiogesha, so go ahead sir mchunguze na uwe tayari na majibu pia
13. M

JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa njooni huku

mbavu zangu jamani
14. M

JamiiForums Tanzania Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

hahaha angalia usijekuta wewe ndio unaota hadi mapovu ndotoni.
15. M

JamiiForums Tanzania Rangi ya mwaka

brown n orange
Back
Top Bottom