Wanandoa njooni huku

Wanandoa njooni huku

Acha tu ndugu yangu si bora kujaza dunia mwenzio anawaza et atajuaje kama mkewe anamsaliti?
 
Hii thread ni kwa wanandoa especially upande wa kiume,lakini nitashukuru sana hata upande wa kike ukachaingia:Wazee hebu fikiria tangu ulipomjua huyu ambaye sasa hivi unamwita mke,anzia tangu uchumba wenu hadi sasa, je umeshawahi kufikiria haya ambayo mimi sometimes nayafikiriaga:
1.Hivi huyu mke wangu tangu nimjue hadi sasa tunaingia mwaka wa tisa kwenye ndoa yetu na mwaka wa kumi na moja tangu tufahamiane,je katika kipindi chote hicho hajawahi kumpa papuchi mwanaume mwingine kweli.
2.Je ataendelea kuwa mwaminifu mpaka tuzeeke bila kuguswa na njemba yoyote,Yaani dudushele langu tangu namjua mpaka nazeeka ndio liwe linaingia tu kwenye papuchi yake.
3.Ushawahi kujiuliza angalau utamani kumwona mwizi anayemchukua mkeo,umwone live anavyomkunja mkeo,na jinsi mkeo anavyompa ushirikiano. (Hakika kwangu nikiona live ufasaroo lazima utahusika)
4.Je mkeo akitongozwa huko nje,anawajibujibuje hao jamaa ?

Kaka una umri gani?
 
Yanini mashakawa? Nimeshaacha shule kuendelea kuandamwa na maswali sina wakati. Mimi ni mvivu wa kujibu maswali, sina haja ya kujiuliza mwenyewe. Hata hivyo si niliamini ndio nikaamuwa tuwe sote?
 
Vivyo hivyo unavyowatendea wake wa wenzio na kuwanasa kwa mitego yako hodari ndivyo mkeo anavyonaswa....!
 
Kiukweli ni wake/waume wachache tu wanaweza kuaminika kwa miaka tisa na zaidi, huanza kuchezea madushe/mapapuchi ya ugenini labda kama wameokoka kama mimi.
 
Ni sawa na kumuuliza mwanaume eti tangu akuoe amesha:
1. Tembeza mchi nje
2. Ameshapata huko Kabang ngapi?
3. Amejengea vimada wangapi?
4. Ana maharamu wangapi baada ya ndoa yenu?
Bora kukaa kimya usikilizie siku ya msiba wake hasa wakati wa kikao cha familia!!!!!! Kazi ipo.
 
nijuavyo mimi huwezi vua nguo kama huwezi jiogesha, so go ahead sir mchunguze na uwe tayari na majibu pia
 
Nimezisoma post zenu,ki ukweli mke wangu nampenda sana na sidhani kama ameshawahi kutoka nje,ila mimi nimeshazitest za nje kama 5 na wala hajawahi kunishtukia wala kunihisi kwa chochote in short nampaga na kumwonyesha mapenzi ya dhati including kumjali nae support ya mapenzi kwake nae ni kubwa sana.Binafsi nimepata mke ambaye ni MATERIAL SANA .Kwa vile nimeshawahi kuduu nje Sometimes mawazo kama hayo hunijia lakini nayaapuuzia.
 
Duuh! Mimi huwa nawaza gharama za vifaa vya ujenzi kama matofali cement, tiles, umeme, masuala ya school fees za watoto, matunzo na matibabu ya mama kijijini, pesa ya chakula nyumbani na mahitaji mengine ya familia, kazi zinazosubiri deadline ofisini na mambo yanayofanana na hayo. Haya naona kama yananitosha kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom