Recent content by Minkya

  1. Minkya

    JamiiForums Tanzania NGONO: Wanawake na Wanaume tunapoamua 'kujiachia' na Madhara yake…

    mwenye macho na asikie na mwenye masikio na aone... aaah... vice versa is true!!! W.o.r.d
  2. Minkya

    JamiiForums Tanzania Nimetendwa jamani

    kila unapotaka kulia tena kwa ajili yake fikiria kwamba unazd kumpa jeuri kwa kukuacha(unampa kichwa), we ni mwanamke jasiri hukumtegemea yeye apo kabla na mthibitishie kama ata sasa haumuhtaj kiivyo... mfanye ajutie kukuacha!! Fanikiwa zaidi
  3. Minkya

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Mwakyembe yaanza kuonekana uwanja wa ndege Dar

    Binafsi nampongeza uyu bwana (Mwakyembe) mwisho wa siku lazima kuwe na kiongozi wa kuonyesha mfano wengine wafuate tukiendelea kushobokea woga eti kwa vile wauza madawa wana mtandao mkubwa mara watammaliza hatutafika kokote kwenye hii vita dhidi ya madawa, ni lazima kuwe na m1 wa kumfunga paka...
  4. Minkya

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    inabidi busara itawale sana jamani kipindi iki, ukiangalia kwa undani hatuna haja ya kuingiza udini kwenye hili... mi nahisi kweli sumthing fishy with the polices, vyombo vya dola vijaribu kutoa majibu apa kwa kweli kabla hali haijawa mbaya zaidi
  5. Minkya

    JamiiForums Tanzania VERY SERIOUS ISSUE!!! Its Raining Husbands on Me and Yet I cant Pick 1. (Sio kulogwa huku jamani)

    Love is perfect when is not complete... Ushashikwa kubwa la maadui, kwisha habari yako :cheer2:
  6. Minkya

    JamiiForums Tanzania HELP: Unawezaje kumsaidia mwenye SEA SICKNESS...?

    Habari wadau, Naombeni msaada wenu katika hili, ninafanya kazi kwenye mazingira ya baharini sana na tupo kwenye chombo ambacho ni kama meli lakini iki kimekua designed kwa ajili ya uchimbaji tu wa baharini ni 'semi-sub drilling rig' sasa kwa kweli haipo stable kabisa sanasana ikiwa kwenye...
  7. Minkya

    JamiiForums Tanzania Msaada. natafuta jina zuri la kike

    majina ya kizungu ni ya kikoloni.....wakoloni walishindwa kutuita majina yetu ya asili wakaamua kutubatiza ya kwao....tafuta jina zuri la kibantu mpe mtoto!! Hongera sana
  8. Minkya

    JamiiForums Tanzania On Mtwara: Kikwete, Muhongo na Bunge - Mnayakumbuka haya?

    sio kweli kwamba gesi ikibaki Mtwara itakosa watumiaji (kuna less demand), naamini tunaweza kuileta hyo demand kama tuna serikali ambayo ni visionary enough, refer Dubai wamejenga mahoteli ya kitalii juu ya bahari yao (artificial Islands) hawakuwaza eti hakuna demand ya utalii...
  9. Minkya

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu katika uzinduzi kampeni za Udiwani Iseke, Singida 17.5.2013

    ebw ndo hom apo, mgawe shule kwa babu zangu. kila la heri.
  10. Minkya

    JamiiForums Tanzania MKURABITA!!!!!! Mchawi Wa Maendeleo Yako Ni Wewe Mwenyew ( Burning the bridge na Kuamua Kuwa Tajiri)

    This is a Fuc--n good sh-i-t, somo liendelee bado kpnd cha maswali hakijafika... gawa shule!!!
  11. Minkya

    JamiiForums Tanzania Punguza Matarijio, utaepuka Kunung'unika!

    Well said mkuu na hamna la kuongeza apo, I once believed (when young) that the most smartest person is the one who sees that no one can be the smartest person. Nmekua na nmegundua I was right, mans greatest achievements technologically ni baada ya kuamini/kugundua kwamba Man is Imperfect always...
  12. Minkya

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHALI: Nini asili ya jina 'URENO'????

    Asante sana mkuu!!
  13. Minkya

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHALI: Nini asili ya jina 'URENO'????

    Habari wanajamvi!! Nimekua nikifatilia sana maswala yahusuyo lugha yetu adhimu ya Kiswahili na mara nyingi huwa najaribu kutafuta majibu kwanza mwenyewe kwa Misamiati mingi ya lugha, unakuta huwa tumekopa au yanaambatana na visasili vichache vinavyokupatia maana halisi ya neno husika...
  14. Minkya

    JamiiForums Tanzania Never give up....

    if the going gets tough, the tough gets you flyng!!
  15. Minkya

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uchawi Tanzania

    Hii thread ngum jaman tuache utan, ina maelezo mazito yenye kubadili mtazamo wa yyte mwny Imani haba na Wachawi...lakni ni Jina lake Bwana Yesu pekee ndilo lenye uwezo na uweza wa kutuponya na machafuko haya. Tulisome Neno jaman..... Nakushkuru Majmoto/Mama Porojo kwa maelezo yote ya umu ingawa...
Back
Top Bottom