Recent content by Mingendeu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Onana kwenye timu yetu, ndo anguko letu

    Ifike muda tukubaliane kuwa Man United imechoka, tuache kushangilia, wajipange upya. Kwasasa tusiende uwanjani 29 October. Mabadiliko yakija tuishangilie Arsenal. Arsenal inaweza kuleta tumaini jipya
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ze comedy ni Abdallah na Dullah au Ismail na Suma

    Hiyo ni kwa upinzani tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ze comedy ni Abdallah na Dullah au Ismail na Suma

    Yaani yule mzee alianzaga vizuri, alikuwa anahubiri neno vizuri tu, kuna muda ilifika point hata kuwakosoa baadhi ya wachungaji na manabii wenzie. Ila Leo hii sijui amekumbwa na nin, jana ndio amejivua nguo kabisaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ze comedy ni Abdallah na Dullah au Ismail na Suma

    Kama wapo basi hawajatambulishwa. Hawakuwepo
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ze comedy ni Abdallah na Dullah au Ismail na Suma

    Hivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo?? Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri. Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa elimu online hapa Tanzania

    Business
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa elimu online hapa Tanzania

    Ndio kiongozi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa elimu online hapa Tanzania

    Naomba kujua vyuo vikuu vinavyotoa elimu online hapa Tanzania tofauti na Open University
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu alikuwa ndo mwanasiasa wa kwanza kuulizia alipo Rais Magufuli?

    🤣🤣🤣sasa ulitaka CCM imtafute mwenyekiti wao?? Wao wana-access na IKULU nk. Wananchi wa kawaida kama Lissu walikuwa watu sahihi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Ni wizara ya Kilimo kuna kituo cha kilimo. Sijafika bado hivyo sina taarifa za kutosha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

    Ngoma ikivuma sana, ujue unakaribia kupasuka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Kweli ni mtu wa maji kiasi. Nahitaji umakini huko
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Asante sana ndugu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Hakuna uoga Ila ni muhimu sana kujiandaa na mazingira mapya
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Kwann
Back
Top Bottom