Hawa Dstv vipi?punguzo gani hilo?hivi tunawang'ang'ania nini hawa hapa tz?nahisi ndio walifanya mpk Gtv wakafilisika ili waendelee kutesa waafrika,.magufuli ingia uko uondoa ukiritimba HUU wa dstv watanzania tunapenda mpira lakin hatuoni ligi za mataifa ya ulaya kwasbb ya dstv mpk uefa ni...
Yaniii Nina mchukia huyu jibaba scorpion eeh mungu nisamehe kwa maneno hay,.huyu hanyongweeee hadharaniii huku tukishuhudiaa tena Mimi nitakua mstari Wa mbele kushuhudia hayo mauaji na kupiga mayowe ya kushangilia
No research no right 2 speak,...sasa cdhani kama msemo HUU yeye anautumia kama alivyomaanisha zaidi ya kila cku new maneno mapya ya ukali yasiyo na research.
Kweli hapo hakuna kipenzi cha maskini,nmeenda hospital wiki iliyopita panadol nikaandikiwa nikanunue,bora wangetujazia madawa hospital hizo ndege na hali hii nani atapanda,.!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.