Recent content by Miner Driller

  1. Miner Driller

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Wadau nahitaji msaada wa kupata nafasi ya kuhamia kutoka halmashuri ya wilaya kwenda taasisi/ mashirika ya umma. Nina shahada ya uhandisi mitambo (mechanical engineering) pamoja na Sitashahada ya uhandisi migodi (mining engineering). Naomba msaada kwa mdau aliye na connection ya kuniwezesha...
  2. Miner Driller

    Nimekuwa shortlisted kwenye written interview ya accounts assistant officer OSHA

    jamani mwenye kufahamu graduate wanaanza na kiasi gani cha mashahara hasa cheo cha plant inspector kwenye taasisi ya OSHA
  3. Miner Driller

    SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Katika ule mkeka wa ajira 13,000/= waliajiri engineers 16 kila shule ya ufundi lengo kuzifufua.. ila serikali imewavunja moyo vijana hao kwa kuwalipa mishahara sawa na ya ualimu
  4. Miner Driller

    Nauza laptop yangu bei poa

    aliye mkoani maudhiano yatafanyikaje?
  5. Miner Driller

    Nauza laptop yangu bei poa

    ndugu.. unapatikana wapi?
  6. Miner Driller

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    bei ya tv 28" kampuni mbali mbali ulizonazo
  7. Miner Driller

    Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    Mkuu una Nokia 3100
  8. Miner Driller

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Hii Fuji tv 32" ni new or used?
  9. Miner Driller

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Laptop RAM at least 4GB PROCESSOR at least 2.0 GHz either Duo Core, Core i3, or core i7 HDD at least 3200GB Screen size 13"
  10. Miner Driller

    Mwanaume kuchapiwa ni kujitakia

    A na B yote sawa
  11. Miner Driller

    Natafuta kazi ya mining technician

    msaada wana jf kupatikana kwa ajira fani tajwa hapo juu
  12. Miner Driller

    Am looking g

    Hello..?
Back
Top Bottom