Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Kwa maneno hayo hapo mwisho wamekusikia.
Hicho kipindi kina marudio?
sijaelewa kitu
loveissweet natamani nikuone humu japo mara moja tu.
Yes dear .. I will be right back.. Thanks
Haya bibie, baadae nikuone tena hapa.
Sawa umeeleweka na easy yako.
Thank you for the Thread. Its a good lesson. Jamani ukisema Wa nini wenzio wanajiuliza watampata lini. ( Hii ni kwa wale wasiojua Thamani ya Mke/ Mume). Lakini pia dear kuna some of men/ women hata ufanye nini ni lazima watende tuu Maovu yao . Dear misingi mengine ya mahusiano inatakiwa kutengezwa since the day one when two people have met. Hii inasaidia sana kujua ni mke/ mume gani unayeoa / kuolewa. These days kuna vitu vinapuuziwa kuzingatiwa kabla ya mahusiano. Matokeo yake tunaoa or kkuolewa baada ya hapo si muda mrefu tunaanza kulia na kujuta.
Binafsi ninaamini kama wote wawili wakimjua Mungu kwa kuwa na hofu nae ndani ya mioyo na nafsi basi hata hakutakuwa na migogoro mingi mpaka kufikia pabaya. Thanks.
Hapo kwenye bluu sijakuelewa, au ulimaanisha essay(insha)
Hapo kwenye bluu sijakuelewa, au ulimaanisha essay(insha)