othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,524
- 11,860
Jiwe gizanAcha kuwaza ujinga wewe, sio kila mtu ni mpuuzi kama wewe
Jiwe gizanAcha kuwaza ujinga wewe, sio kila mtu ni mpuuzi kama wewe
Chukua TSHS 200,000/-
ndugu.. unapatikana wapi?Nina problem flani nauza laptop yangu HP, ram 4 ,64bit,core i5,500HD .
Laptop ni nzima haina tatizo lolote. Nipo Dar. Bei 350,000 karibuni sanaView attachment 719572
aliye mkoani maudhiano yatafanyikaje?Nina problem flani nauza laptop yangu HP, ram 4 ,64bit,core i5,500HD .
Laptop ni nzima haina tatizo lolote. Nipo Dar. Bei 350,000 karibuni sanaView attachment 719572
Karibu sana dear1Ntakuja tu mkuu hata kama kwa Moromboo
AsanteKaribu sana dear1
hiyo avatar yako mmmmhAsante
imeshauzwaMuuzaji hasemi kama kauza au bado... Tuambie hii pc bado ipo?