Pole sana mkuu...
Naamini utapona majeraha ya moyo na maumivu ya mwili...
Unatakiwa ujihurumie wewe kwanza kwa kupambania afya yako, na kama vipi mtengane tu.. japokuwa tumesikiliza upande mmoja lakini ushauri wa jumla ni kuepuka maumivu!
Shkamoo mapenzi... ..kuna mtu alifungwa, na kupoteza...
Mungu anahusika na kifo tu..maana alitoa onyo na baadae akatoa tangazo kwamba tutakufa.. .lakaini hahusiki na namna au jinsi utakavyo kufa ... ndio maana mtu akiua anahukumiwa kifo kwa vile kafanya kosa la kuua!.. hapa duniani na mbinguni!.. kama angekuwa anahisika na namna ya kufa .basi anayeua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.