Mwache anywe pombe za kutosha, ili awe strongman, pombe itamfanya awe perfect, pombe itamfanya apunguze mapenzi machozi yaan kulialia kwenye mahusiano, itamfanya agawanyishe mapenz 50% pombe, 50% mahusiono,
Wewe kama rafika mshauri tu anywe kistarabu, bia+supu+ ugali nyama choma,
Akizoea pombe...