Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Mimi nina minnenajipangia tu leo nikumbatie upi. Na kila mmoja na rangi yake.

na yote minne sasa hivi ina ujauzito.siku nyingine tumia dildoMi nna mdoli mkuuubwa uwa namkumbatia nampenda sana. kuna siku nilimuogesha nilimfua akachelewa kukauka yan hakukauka mana ni mkubwa sana. Usiku nikawa siwez kulala naona kuna kitu kimepungua kitandan basi nikachukua ivoivo nikamfunika nikamkumbatia na unyevunyevu wake.
Mi nna mdoli mkuuubwa uwa namkumbatia nampenda sana. kuna siku nilimuogesha nilimfua akachelewa kukauka yan hakukauka mana ni mkubwa sana. Usiku nikawa siwez kulala naona kuna kitu kimepungua kitandan basi nikachukua ivoivo nikamfunika nikamkumbatia na unyevunyevu wake.
Nna mtu tupo kwenye mipango
wee mzee uzee wako unakuja kwa utata utata kama shoti ya umeme hizi mada zako zote zinzfikirisha akili au unapiga watu chabo sana kuona maisha yao ya sirini sio bure kabisa.Naandika mada hii nikiamini fika wahanga ni wengi kwenye hili
Ni asili yetu kupenda kukumbatiwa na kukumbatiana hasa nyakati za kulala. Lakini kwa bahati mbaya sana pamoja na uzuri wote wa kumbatio lakini halidumu zaidi ya dakika 30.. Kila mmoja hujikuta akigeukia upande wake na kutafuta usingizi kivyake.
Natambua kuna baadhi yetu wachache waliobahatika bila kukumbatiwa usingizi hauwezi kuja lakini kuna wale ambao upweke kwao ni kama chanda na pete. Hawa ndo wale wenye uraibu wa kukumbatia mito. Kitandani kwake hakosi mito mitatu
Mmoja katikati ya miguu mpaka mapajani
Mwingine kifuani ukiwa umekumbatiwa na mikono
Wa mwisho kichwani
Je, una goma jipya leo? Baada ya chausiku angalia mlalo wake.
Jr![]()
Nipo nasubiri jibu lake hapa kabla nikuseme wifi..!!Hapo anatania,huyo mrembo hata asijisumbue kusogea
Madhara ya usingo hayo!Mi nna mdoli mkuuubwa uwa namkumbatia nampenda sana. kuna siku nilimuogesha nilimfua akachelewa kukauka yan hakukauka mana ni mkubwa sana. Usiku nikawa siwez kulala naona kuna kitu kimepungua kitandan basi nikachukua ivoivo nikamfunika nikamkumbatia na unyevunyevu wake.
Jesus!!Mi nna mdoli mkuuubwa uwa namkumbatia nampenda sana. kuna siku nilimuogesha nilimfua akachelewa kukauka yan hakukauka mana ni mkubwa sana. Usiku nikawa siwez kulala naona kuna kitu kimepungua kitandan basi nikachukua ivoivo nikamfunika nikamkumbatia na unyevunyevu wake.
Nimeelewa hapo uliposema upweke kwetu ni chanda na pete. Ila haina nomaNaandika mada hii nikiamini fika wahanga ni wengi kwenye hili
Ni asili yetu kupenda kukumbatiwa na kukumbatiana hasa nyakati za kulala. Lakini kwa bahati mbaya sana pamoja na uzuri wote wa kumbatio lakini halidumu zaidi ya dakika 30.. Kila mmoja hujikuta akigeukia upande wake na kutafuta usingizi kivyake.
Natambua kuna baadhi yetu wachache waliobahatika bila kukumbatiwa usingizi hauwezi kuja lakini kuna wale ambao upweke kwao ni kama chanda na pete. Hawa ndo wale wenye uraibu wa kukumbatia mito. Kitandani kwake hakosi mito mitatu
Mmoja katikati ya miguu mpaka mapajani
Mwingine kifuani ukiwa umekumbatiwa na mikono
Wa mwisho kichwani
Je, una goma jipya leo? Baada ya chausiku angalia mlalo wake.
Jr![]()
Bllctfmtbhh b ىزفؤ ثدزززؤهؤرنرزى دىفىرلىظNaandika mada hii nikiamini fika wahanga ni wengi kwenye hili