Nakushauri kwa Moyo mkunjufu na mnyenyekevu, piga moyo konde na endelea na maisha yako huku ukilea watoto wako.
Talking from experience, you will thank me later.
All the best
Kuna jamaa yangu mmoja alijiarika, kufika tuu wakanikarinisha kama watu 20 then wakanipeleka kwenye kachumba flani kwa ajili ya semina!
Kwa knowledge yangu ndogo, nikaona natapeliwa soon. Baada ya semina, nikawaahidi nikaitafute pesa ila mpaka Leo ni kama miezi 8 nimemkatia line!
Ananipigia...
Wasaalam nyote.
Shukrani kwa Kibaravumba na nyote mliotoa constructive comments.
King kong, sina hizo sifa za kutafuta PM za wadada kama unavyohisi. Baadirisha ur negativity thinking ndugu yangu maana unafkiria watu wote wana tabia kama hizo
Nilifanikiwa kuanzisha duka mwezi May baada ya...
Basat na Candid, nashukuruni sana kwa michango yenu.
WanaJF, mwenye ideas na views tofauti! Location gani kwa Dar ni nzuri, Risks involvedvi, Opportunity, Strategews.
Advise please
Habadi wana JF
Nina mtaji wa Tshs. 20M na nimefikiria kuanzisha biashara ya duka la Dawa za Binadamu hapa Dar Es Salaam.
Kwa wataalamu na wenye uelewa wa hii biashara, naombeni mnisaidie mnyambulisho wa nini kinachotakiwa kufanyika ili hii Biashara iwe na mafanikio na maendeleo zaidi.
Taaluma...
RIP Mzee Kaboyonga. Ulitumikia taifa lako kwa uadirifu wa hali ya juu sana na michango yako kwenye sekta ya Uchumi na Fedha vimesaidia kutufikisha hapa tulipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.