wadau KIWANJA cha kununua KINAHITAJIKA
HARAKA sana maeneo ya kinyerezi, tabata
segerea, ni PM tufanye biashara
kama vp njoo GOBA KUNGURU km 3 kutoka bagamoyo road na mt 150 kutoka barabara ya goba. sqm 1 =10000 tzswadau KIWANJA cha kununua KINAHITAJIKA
HARAKA sana maeneo ya kinyerezi, tabata
segerea, ni PM tufanye biashara
kama vp njoo GOBA KUNGURU km 3 kutoka bagamoyo road na mt 150 kutoka barabara ya goba. sqm 1 =10000 tzs
vipi Binju B uko tayari? kiwanja kizuri sana ukubwa 45M X 45 M.
vipi Binju B uko tayari? kiwanja kizuri sana ukubwa 45M X 45 M.
Nina milion 15 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii...uko pasta au kusikia naomba unijurishe...email yangu ni woowtv@live.co.uk. Asante.
Je kisarawe 2? Not far from Kigamboni Ferry. Just near where they quary sand. Not far from the beach.