Recent content by Mina joh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

    Mbona hamuulizi ubongo kids nao wanasapoti ushoga
  2. M

    JamiiForums Tanzania mke akiwa mja mzito na mume kuwa na hali mbaya kiuchumi inahusiana vp?

    Labda ni imani maana hata mm kuna mimba nliwahi kubeba aisee mambo yalikua marahisi sanan
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Huu ni ukweli ambao hatutaki kuusema
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Hata mm kwa reseach yangu ndg nliyoifanya kati ya mashoga 10,8-9 walinyanyaswa kingono wakiwa wadogo tena bahati mbaya na watu wao wa karibu.1-2 wameingia huko kwa kua influenced na mazingira
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

    Well said mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

    Wakati niko chuo mkoa fulani nilitambulishwa kwa ndg zang upande wamama wakanitaka likizo fupi nirnde nikaona isewe shida likizo fupi nikaenda aisee nilikoma.Ilikua kama nimemeenda kwenye huhadhara wa dini kila siku ikawa kuipondea dini yangu mpaka siku moja nikawatolea uvivu Nyingi ni shoga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania China evil plan for Africa revealed

    Umewaza kama ninavyowaza,ila kinachonishangaza ni viongoz wetu hawaoni mfano hapa Tanga kwenye ujenzi wa bandari kunawachina wengi wamekuja na hawana vibali vya kufanya kazi achilia vya kuishi kinachoshangaza zaidi maofisa wa uhamiaji hawaruhusiwi kuja kukakagua hata wakija wanaishia nje...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za Freelancing nifanye kama part time job

    Mkuu unaweza kunisaidia n mm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za Freelancing nifanye kama part time job

    Ulipata tupe muongozeo na ss tupate part time job
  10. M

    JamiiForums Tanzania Project management

    Tupe muongozo badi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

    Ndivyo walivyo huku kwetu ukifanya nao kazi off wanakukata 5000 kwa siku
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

    Halafu sijui kwann serikali yetu iko kimya wakati inajulikana fika kama wengi wao wapo kinyume na sheria
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

    Kuna rafiki yangu alikataliwa kazi pamoja n avigezo vyote kisa ni mnene walimuambia atakua anafikiria kula badala ya kazi wahindi na wachina kazi kweli kweli
  14. M

    JamiiForums Tanzania Project management

    Unafundisha hii coz?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM mnaboa

    Me nilijua ni peke yangu ninayekerekwa yaani unakuta wanaleta mtu anapewa air time ndogo kuliko bakia ni matangazo tu jamani semeni kama hy ni radio ya matangazo tuelewe
Back
Top Bottom