Recent content by Mimosa pudica

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wrong parking agent...usumbufu sana

    Ni kweli kuna usumbufu unaosababishwa na baadhi ya watendaji.Lakini hata wewe unapaswa kuhakikisha kuwa unapoegesha gari lako kwa dharura ufuate taratibu na uchukuwe tahadhari ya kiusalama katika eneo hilo kutegemeana na katazo la kuegesha katika eneo husika. Kwa upande wa wahusika mimi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ashukuriwe Mungu; Waziri mkuu Kassim Majaliwa arudisha matumaini mapya kwa wananchi wa Manyara

    Mbona eneo hilo ni mapito ya wanyama (wildlife corridor ) kwa hifadhi ya Taifa ya Manyara na Tarangire?Ni muhimu sana kufikiri matumizi ya eneo hilo isiharibu mapito ya wanyama pori kutoka Ngorongoro,Manyara na Tarangire.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo elimu ya juu: Serikali yaweka vikwazo kupunguza waombaji ili kukidhi ahadi ya 100%

    Inasikitisha sana.3 .5?hivi wanajua kweli pass marks zake imekaaje?
  4. M

    JamiiForums Tanzania ITV kupost kipindi kuhusu mkurugenzi wa SIDO aliyetenguliwa ni kukosa umakini

    Je ikitokea ametumbuliwa akiwa studio? Hapa sioni tatizo kama ni recorded.kitu muhimu ni content.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Value-Added Tax (VAT) is a tax on consumer spending. It is collected by VAT-registered traders on their supplies of goods and services effected within the State, for consideration, to their customers.kwishaaaa!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Lakini kuelewa ni rahisi sana!!!mwenyekuelewa hapa ni mtu yeyote atakae tumia huduma za kibenki!!!practical?tutaelewa tu wala haihitaji shule kuuuuubwa!!!just cash in bank!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Ukweli unabaki palepale.always mzigo wa kodi ni wa mlaji!!!nakukubali prof.that is a simple and clear principle!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania TBC na upi gani kura wa siri Bungeni

    kweli!ni mpiga kura pekee ndiyo alionekana akiweka alama ya tick lakn alama yake haikuoneka kama ameweka kwenye NDIYO au HAPANA.Kwenye kweli tuandike ukweli na tusipotoshe umma.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    kwa matokeo YASIYO RASMI huenda cdm ikashindwa vibaya ktk uchaguzi mdogo jimbo la kalenga.je,kushindwa huko, cdm itakuwa imepoteza nn?Bado wana nafasi ya kutafuta uwiano wa kura zilizopatkana 2010na 2014 kuona kama wanazd kukubalika au kutokubalika.kama idad ya kura kwa cdm imeongezeka basi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kingamuzi cha continantal wizi mtupu

    Nashukuru sana kwa taarifa.nilikuwa nawaza nikinunue.je ni kisimbuzi kipi naweza pata local channels bure bila kulazimika kununua kifurushi cha mwezi?ombi tafadhali.asante.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

    Kama polisi ni tawi la CCM basi matunda yake ni dawa na chakula.uiheshimu tawi hilo usife kwa njaa na upate uponyaji!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

    kabla ya kufikia ulinzi wa kura kwa chopper,je hakuna njia nyingine ya ulinzi wa kura katka chaguzi zetu?nani anaweza tu kutuelimisha jinsi gani chopper itatumika kulinda kura?Tz kuna vyama vingapi vya siasa zinazoshiriki ktk uchaguzi?Kama vyote vikiamua kila kimoja kutumia ulinzi huo kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi

    Hii ndio cv iliyoulizwa hapa?Mbona unatueleza tofauti?Au cv huelewi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi

    Naomba kujua kama anachokifahamu mtu ni LAZIMA iwe kwenye cv yake?Au unaweza pia kulifahamu au kulihoji jambo kulingana na uzoefu wa mazingira husika?
Back
Top Bottom