Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

inamaana ukizunguka na chopa angani utazuia wizi wa kura, acheni kutudanganya jamani??
 
Tutaona wizi wenu bedui nyie na chopa zitaruka kwa lazima sheria zipo
 
inamaana ukizunguka na chopa angani utazuia wizi wa kura, acheni kutudanganya jamani??

Kijana, kwenye hiyo avatar yako aliyepiga goti ni wewe? Sometimes, hebu fikirieni kabla ya kutenda!

avatar131422_4.jpg
 
inamaana ukizunguka na chopa angani utazuia wizi wa kura, acheni kutudanganya jamani??
Mkuu chopa inasaidia sna kwenye kulinda kura.Nakumbuka uchaguzi wa arumeru ccm walitaka kuchomeka kura lakini vijana walipowashtukia wakaanza kuwafukuza wao wakiwa na land cruiser na vijana wa cdm wakiwa na magari ya kawaida.Wakawapa taarifa watu wa chopa wakawa wanafukuza kwa juu manake inakuwa rahisi aloyeko juu kukuona hata ukienda wapi.Jamaa kuona hivyo wakaacha gari wakakimbia.
 
CDM sio wajingaaa kiasi watishwe na ujinggaa wa mtu, CHOPA ITALINDA KURA, hawa watu wenye kufeli shuleni ni taaabu sana, hata kujua kazi wanazozifanya ni shida kila kitu amri tu na kubana matakoooo
 
huyo RPC amejidhalilisha sana ! Nimemdharau moja kwa moja ! Poor RPC ! hakuna bunduki ya kuweza kushinda nguvu ya umma .
 
Katika mchakato wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge unaoendelea mkoani Iringa katika jimbo la Kalenga.RPC wa mkoa huo Kamanda Mvungi ametoa onyo kwa CHADEMA kurusha chopa yao katika anga la mkoa huo siku ya uchaguzi yaani jumapili hii ya tar16.
Kauli ya Kamanda huyu inafuata baada ya kauli ya CHADEMA kuwa watatumia Chopa kulinda kura zao zisiibwe siku hiyo kama ilivyozoeleka kuwa CCM wamekuwa wakijihusisha na uwizi wa kura.
Kamanda Mvungi hakupaswa kutoa kauli hii,inaonesha dhahiri jeshi la polisi nchini lipo upabde fulani kisiasa na linatetea chama kilichopo madarakani,sidhani kama huwepo wa chopa angani unaathiri amani ya eneo husika,kwa namna hipi hasa?
Jeshi la polisi mnapaswa kufanya wajibu wenu na yale yanayowahusu ili kujenga imani kwa wananchi,hampaswi kujihusisha na siasa na ndio mana hata vitu flani hamruhusiwi mfano kujiunga na vyama vya wafanyakazi.
Polisi Tanzania tendeni kazi zenu kufuata misingi ya kazi zenu si kukengeuka.

Acha kupost wehu na uvundo wa mawazo. chagadema Kalenga wanachapwa mapemaaaaaaa
 
polisi wanatakiwa kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, nashindwa kuelewa hiyo sheria ya kukataza chopa ameitoa wapi??
 
kabla ya kufikia ulinzi wa kura kwa chopper,je hakuna njia nyingine ya ulinzi wa kura katka chaguzi zetu?nani anaweza tu kutuelimisha jinsi gani chopper itatumika kulinda kura?Tz kuna vyama vingapi vya siasa zinazoshiriki ktk uchaguzi?Kama vyote vikiamua kila kimoja kutumia ulinzi huo kwa kutumia hata zaidi ya chopper 1 hali ya anga itakuwaje?
 
Back
Top Bottom