Recent content by Mimley Mahela

  1. Mimley Mahela

    Swali kuhusu Selection kidato cha tano mwaka wa masomo 2016 /2017

    Nmechokaa jamanii selection hadi leooo badooo si uonevu huuu
  2. Mimley Mahela

    Swali: Post za form five zitatoka lini?

    Duhh yani me hapa nlipo nmejichpokea nmekaa saan home mpka WATU wanaanxa kuja kuniposa wamesahau kabisa KAma me ni studenty
  3. Mimley Mahela

    Swali: Post za form five zitatoka lini?

    Yani wewe mwenzangu namiee yanii mimi nipo board kwa kweli nnakaz ya Kula kulala nmemiss skul kwa kwliii
  4. Mimley Mahela

    Ntafikaje chuo cha mipango Dodoma?

    Hayo so maisha KAKA usidharau usiyemjua
  5. Mimley Mahela

    Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Jamani jesca ni mtoto wa rais hata tukimjadili huku chini ni kazi bure ila me staki yanikute ya special diploma Nattak nikasomee certificate ya education technology pale Udom nmepata dvition three form four ila mpka sasa bado sijfanya application Udom cozy sijui wanfanya kwa njia gani...
  6. Mimley Mahela

    Kwanini mamlaka hizi zimeacha familia ya Rais idhalilike

    Jamani watoto wa vigogo hao hatuna jinsi hata tulidiscuss kax bure ila Kama kuna MTU umundani anauelewa na njia ya kufanya application ya ngazi ya certificate please naomba anisaidie
  7. Mimley Mahela

    Kwanini mamlaka hizi zimeacha familia ya Rais idhalilike

    Duhhh ni shidah ila me skaty tamaa naombeni msaadah nahitaji kusomea cozy ya education technology pale Udom kwa ngaz ya certificate ila mpka mda huu bado Udom hawajatoa form mtandaoni asa sielew ntafanikiwa au lah
  8. Mimley Mahela

    Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Me jamani mpka sasa Bado natamani kwenda kusoma Udom cozy ya certificate ya education technology please msaada kwa yeyote ajuae application yafanyika kwa njia gan please naomba aniambie
  9. Mimley Mahela

    Ntafikaje chuo cha mipango Dodoma?

    kaka angu huo si ushaury mbona waanza leta majungu
  10. Mimley Mahela

    Ntafikaje chuo cha mipango Dodoma?

    Jamani samahanini me ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne na nimepata dvtin three ya 25 na sihitaji kwenda advance n napenda kwenda chuo lakini vyo vyenyewe napendelea kiwe udom au mipango naomba ushauri nikasomee couz gani ila nilisoma biadhara so nina d ya bkepng na comerce pamoja na c ya...
Back
Top Bottom