Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Kama hakupendije , hapo tunafanyaje
NN mwanzisha mada I wish uliweka conditions mojawapo ikiwa mtu akishatajwa (picked) asitajwe tena. Naona ishakuwa fujo sasa kila mtu sasa anamtaka Preta Preta noma hii hapa sio Manzese wakuu. Ila the good thing ni kwamba I was the first to pick Preta so mliofuata wote imekula kwenu tafuteni wengine, of course bado yeye Preta mwenyewe ndio mwamuzi wa mwisho.
 
its complicated since we dont know the member gender & cant see the realy picture of anyone
 
Yaani wewe hakuna neno linalofaa kuelezea kuonyesha jinsi gani ulivyo muhimu kwangu....kila neno naliona jepesi katika mizani ya umuhimu wako kwangu....nangoja wataalamu wa maneno watakapo kuja na msamiati mpya ukiacha LIKE na LOVE.....
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom