Recent content by miminawewe20017

  1. miminawewe20017

    Spika amekubali Kamati ya PAC kushughulikia upotevu wa Tsh. 1.5T

    Yule jamaa anaonekana mtu hatari sana kushinda wanaojiita hatari
  2. miminawewe20017

    Kuna kila dalili kuna njama ovu zinafanyika kurudisha nyuma tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa

    tuanzie hapa,tuambie ilikuwa tarehe ngapi na unahisi inataka kupelekwa tarehe ngapi?
  3. miminawewe20017

    Nyumba ya Mapadre Seminari ya Segerea yateketea kwa moto

    Poleni sana wanaseminary wa Segerea
  4. miminawewe20017

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    kama kwa kufanya hivyo serikali imeona ndo njia sahihi kutatua hilo tatizo na kukiokoa hicho chuo ni vizuri na nakubaliana nao lakini kama sivyo isisite kubadilisha maamuzi endapo haya maamuzi yataathiri kitaaluma kwa ujumla chuoni hapo.
  5. miminawewe20017

    Tahadhari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya: Maigizo mnayofanya yatawagharimu...

    Umeongea vizuri sana na naimani kama watausoma na kuuelewa basi hawana budi kuufanyia kazi huu ushauri wako
  6. miminawewe20017

    TRA: Wanaofanya biashara mitandaoni kuanza kutozwa kodi

    Sijajua watatumia vigezo gani lakini hawa jamaa wanaofanya biashara mtandaoni wengine wanamaduka maeneo ya sinza na kariakoo ambayo tayari yanalipiwa kodi so kule huwa wanafanya kama matangazo tu!!Labda wana aproach nzuri ya kuwapata hao wafanyabiashara wa mtandao!!Ngoja tuone itakavyokuwa...
  7. miminawewe20017

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Hahahahah!!!!Hapo kwenye ulaji sina uhakika napo maana ukiangalia hapo juu kwenye post ya kwanza ya mtoa mada kuna kipande sijui ni cha katiba kinaonyesha ilikuwa tokea zamani ni DHAHABU na wala sio NJANO
  8. miminawewe20017

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Hapo kwenye nyekundu,wasiliana naye kwa inshu za ofisi tu kitu ambacho kitapelekea ule muda uliokuwa nao baada ya kutoka ofisini kwa sasa hautakuwepo tena.
  9. miminawewe20017

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Tafuta mwanamke mwingine huyo hakufai na wala hamfai huyo mwanaume anayetaka kuvisha pete
  10. miminawewe20017

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Sasa sijui walikuwa wapi miaka yote hiyo kusahihisha hilo mpaka awamu hii ndo waseme hivyo
  11. miminawewe20017

    Kurejea kwa Tundu Lissu kwenye nchi yake ya asili

    Karibu sana Tanzania Tundu Lissu ingawa hujasema anarudi lini
  12. miminawewe20017

    Trump Atishia Kusimamisha Shughuli za Serikali

    Hata mimi nahisi hivyo ingawa lolote linaweza tokea akaendelea kwa awamu ya pili
Back
Top Bottom