Recent content by mimimpole

  1. M

    Njia na maegesho karibu na Ikulu zafungwa Dar

    Hiyo ilikuwa awamu zilizopita. Sasa imefungwa permanently.
  2. M

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Ndugu ulifikia hostel au hotelini? Ulaya ammenities zilizotajwa ni kawaida sana. Vyumba kuna studio(bedroom+bathroom+open kitchen+washroom+small sitting area) na kuna room+1 na kuendelea ambazo ni hizo sehemu nilizotaja kuongeza na chumba cha pili. Studio ya bei rahisi zaidi ulaya kwa mkazi wa...
  3. M

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Kosa tunalifanya hapa ni kufananisha a few billionaires na diaspora anayefanya 9-5. Kwa nini tusifananishe maisha ya bigshot wa Tanzania na bigshsot wa marekani? Hiyo ndio utakuwa fair. Njia nzuri ya kujua wapi kuna unafuu ni kutazama median income angalau. Pia tunaweza kutazama access ya huduma...
  4. M

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Nitatoa mchango wangu kutokana na experience ya kuishi kama diaspora na kuishi nyumbani pia. 1. Ukiondoa upweke na kupoteza connection za nyumbani maisha nje ni marahisi zaidi kiuchumi. Kwa kazi zinazofanana basi mtu aliye nje ataishi vizuri zaidi. Wengi tu akosea kufananisha cashiers wa ulaya...
  5. M

    Jerry Muro awaanika askari kwa rushwa, nini kitatokea?

    Watanzania wote tungekuwa hivi tungefika mbali sana!you are one of the personality of a dream Tanzania accidentally living in a screwed up TZ!! wito kwa watanzania,tujenge utamaduni wa kujiamini,ikiwezekana tutembee na video camera kabisa,kurekodi upuuzi wa aina hii ukitokea
  6. M

    gharama za Kukomboa kontena Dar es salaam PORT

    umepatia mkuu, vifaa ni kwa ajili ya Finishing,sidhani kama mchanga/kokoto za Bongo zina tatizo lolote.naongelea electric installations/plumbing accesories/floor tiles/sanitary equipments/window panels etc. last time i quoted mafundi wa bongo cost ya hivyo vyote ilikuwa inachezea $25,000...
  7. M

    gharama za Kukomboa kontena Dar es salaam PORT

    Nashukuru wadau kwa majibu yenu na ushauri. kwa wale wanaoshauri kununua vifaa hivyo Dar,hili halipo kwenye meza kwa sasa.mimi ni mmoja kati ya watanzania wengi tuliochoka na vifaa feki hasa kwenye sekta ya Ujenzi.zile kauli za imetoka spain wakati ukweli unafahaamika hazimvutii kila mtu...
  8. M

    gharama za Kukomboa kontena Dar es salaam PORT

    Naomba gharama za kukomboa Gharama Kontena la futi 20, lenye vifaa vya ujenzi wa nyumba binafsi bandari ya DSM. 1.thamani ya vitu vyote humo ndani ni kama $8,000 2.Kulisafirisha hadi Dar itanigharimu $2000 USHURU ninaotakiwa kutozwa ni kiasi gani?nimesoma taarifa za TRA wanadai kodi ni 15% kwa...
  9. M

    Octane rating in premium/regular Gasoline

    At least we deserve to know the type of junks they throw at us!some cars have strict octane rating requirement.actually most cars made from 2000's. no wonder motokaa zetu haiiishi kwenda kwa mafundi!
  10. M

    Hivi kweli hakuna watanzania wenye sifa na ujuzi wa kibiashara wa kuiongoza TAZARA?

    Ni mara elfu tumuajiri Mtu mwenye uwezo with no string Attached to run these companies. hata kama atakuwa ni mjerumani sawa tu as long as he/she delivers.hata mie nimechoka na watanzania.umasikini wetu na uchu wa kuwa matajiri overnight ndio unatuponza,hata uwezo wetu unashindwa kuonekana. si...
  11. M

    BOT yamwaga mikopo ya mamilioni kwa wafanyakazi wake-Ndio bailout ya serikali hiyo!!

    Waziri amesema kuna tatizo,wamesimamisha utoaji mikopo.MTAALAMU WETU WA BENKI KUU bwana KISHOKA UKO WAPI? maana wewe ulisema tunawasingizia,
  12. M

    Octane rating in premium/regular Gasoline

    Duh!!yani Super ndio 93 octane rating?!sasa mbona hiyo ni regular ughaibuni?! l waufahamu wangu premium starts at 97 RON.with BP UK selling ultimate unleaded petroleum at 99 RON with super Ultimate unleaded with 102 RON. kwa hiyo ndio kusema TZ hakuna 97 RON petrol?sasa wale wanaoendesha...
  13. M

    Simu yangu ya Kichina - naomba msaada

    wewe usienunua vya kichina unanunua vya wapi??marekani?una proof kuwa vimetoka huko?unafahamu kuwa marekani 80% of consumer products vinatoka china?!
  14. M

    Octane rating in premium/regular Gasoline

    Kwa wale wajuvi wa hizi habari,Octane rating ya regular gasoline tanzania ni ngapi?na kwa ile Premium,je ni ngapi? huwa zinapimwa kama ifuatavyo..,89,91,93,95,97,98 etc.kila nchi ina za kwake lakini hizi ndio nazifahamu miye,za TZ sizijui.mwenye kuzijua atuhabarishe.
  15. M

    help on good quality Building equipments information

    Kwa mwenye ufahamu wa bei na ubora wa vifuatavyo,atoe maoni yake 1.Tiles Naomba bei za good Quality tiles.porcelain,ceramic all good.nahitaji za sakafuni,bafuni na jikoni. 2.Gypsum for ceiling. Naomba bei za gypsum,majina ya brand zilizopo dar,conatcts na bei zao 3.kitchen sinks,toilets, and...
Back
Top Bottom