Simu yangu ya Kichina - naomba msaada

cm za Mchina ni balaa. jamaa alikuwa na blackberry mchina. kuigonga na mlango wa gari wakati amekaa ndani ya gari basi ikasambaa wino screen nzima. Tena zina kellele za kuudhi sana.


cm yoyote ukiigonga au kudondosha hilo la kuvunjika kioo au mengine yatatokea na unabadilisha kioo kama cm ingine yoyote vioo vipo unabadilisha na tumebadilisha vingi tu
 
wewe usienunua vya kichina unanunua vya wapi??marekani?una proof kuwa vimetoka huko?unafahamu kuwa marekani 80% of consumer products vinatoka china?!


Mkubwa unajuwa ulichokiuliza??Na nani kakuambia mimi nanunua vitu toka Marekani??
 
Back
Top Bottom