Recent content by mimimnyenyekevu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Pole sana,Mungu akuoe hitaji la moyo wako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Njiwa

    Wasalaam ndugu zangu Naomba nilete kwenu hii hoja. Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni wanakuja tena kulala. Siwajui ni wa nani, hivi hii inaweza kuwa sababu ni Nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ungefanyaje

    Ajabu hii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Safi sana mkuu,kunywa Pepsi kwa mangi apo nakuja kulipa chap kwaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ili uwe na baby’s face ni lazima uwe na jicho jeupe

    Ndio hawaamini wakati mimi ni wa kawaida tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ili uwe na baby’s face ni lazima uwe na jicho jeupe

    Mi nikiwaambia nipo SINGLE wanakata wananiambia hivyo ulivyo huwezi ukawa huna mtu,basi nabaki nawqshangaa tu😳
  7. M

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    Kila mtu alipewa majukumu yake,mwanaume as a provider na mwanamke as a receiver, ukiyajua hayo hutapata shida na mwanamke
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mama Dorothy Gwajima: Tunu ya Utumishi wa Umma na Mlezi wa Jamii

    Yap,ni mtu na nusu huyu,Mungu amuweke🙏
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wanawake na pia Wanaume. Jambo hili litakomesha yasiyofaa

    Si muwanyime,ila na nyie msiwaombe walivyonavyo
Back
Top Bottom