Recent content by mimi20

  1. M

    Nina Certificate ya IT, natafuta kazi

    Baada ya kupitia cv yako kidogo nakushauli ongeza elimu yako kidogo at least ufike ngazi ya diploma
  2. M

    Msaada wa nondo za maswali ya vocational training teacher (VETA)

    Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi. Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral.
  3. M

    Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  4. M

    Nahitaji business partner au IT partner tupige kazi katika maswala ya ICT

    Kwa sasa nipo dar es salaam shughuli zangu ni mtu wa IT ambaye nashughulika na maswala yafuatayo 1.computer training programs 2.computer maintance and repair 3.security systems installations 4.software and hardware installations 5.sales and marketing of the computers and ICT services...
  5. M

    Wapenzi walioanzia Chuoni ndoa zao zinadumu sana

    Tangu nizaliwe mpka Leo hii nimekuwa mtu mzima sijawahi kuona wala kusikia eti kuna wanachuo wameoana ambao uhusiano ulianzia Chuo Kwa kifupi tuu hizo ni ndoto za alinachaaaa
  6. M

    Msaada: Najiandaa kwenda kutambulishwa ukweni kwenye familia ambayo baba na mkwe ni wakorofi

    Nina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana. Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza kuulizwa maswali ya maudhi yakakutoa kwenye reli au ya kawaida kwani familia yake anailewa jinsi ilivyo...
  7. M

    Ukiwa na hofu ya kuachwa baada ya kuona dalili za kuachwa kabla ya break up kutokea

    Nina rafiki alikuwa ananisimulia jinsi hali yake mahusiano yake anayopitia amepatwa na hofu muda wowote mpenzi wake atavunja mahusiano na hofu hiii inatokana dalili za mabadiliko ya tabia na mwenendo wa mpenzi wake. Mpaka sasa ana hofu hana amani tena amejaribu mbinu zote kuongea na mpenzi wako...
  8. M

    Msaada mpenzi wangu hana time sana kunitafuta kama zamani

    Kipindi cha nyuma mawasiliano haipiti siku bila kukutafuta zaidi ya mara tano au sita yaani asubuhi, mchana, jioni na usiku mtaongea mpka unachoka lakini saivi ni morning greetings atakucheki na usiku kabla ya kulala atanicheki kunisalimia na kunitakia Gu9t Lakini nikimpigia simu ikikata...
  9. M

    Papuchi ya mpenzi wangu sio ya moto kabisa tatizo ni nini?

    Tangu nianze kusex na mpenzi wangu karibia awamu tatu papuchi ya ubaridi, ule u moto moto hamna kabisa. Tatizo ni nini?
  10. M

    Mtoto wa mkeo asipokupenda unafanyaje?

    Katika saikoloji huwa tunasema kila jambo huwa lina sababu yake Ukiona mtoto wa singo maza hakupendi ujue kuna sababu nyuma ya paziaa na chanzo cha haya yote Ni MKEO na NDUGU JAMAA wa biological father kuna maneno dogo wameshamjaza na kama unavyojua koo zetu za kiafrica zinavyomuelezea baba wa...
  11. M

    Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Computer na Security Systems

    Natafuta kazi kwa mwana jf ya kufundisha masomo ya computer na security systems both practical na theory Masomo ya computer ambayo ninayofundisha ni 1. Computer application 2. Desktop publishing 3. Computer management systems 4. Computer repair and maintanance 5. Laptop maintanance n...
Back
Top Bottom