Nina Certificate ya IT, natafuta kazi

emmy mlyuka

Member
Oct 11, 2018
20
22
Hello marafiki wa JF

Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (information and communication technology)

Nina uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery, mwananyamala hospital NMB, Magomeni hospital NMB kwa miaka kadhaa na nilishakua supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima.

Hivyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yoyote kama duka, bakery, wakala wa maswala ya fedha nna uzoefu nayo pia, secretary, receptionist, cashier, customer care au supermaket kazi yenye kuniingizia kipato kizuri

ASANTE

Namba yangu ya simu ni 0710444699
 
Baada ya kupitia cv yako kidogo nakushauli ongeza elimu yako kidogo at least ufike ngazi ya diploma
 
Hello marafiki wa JF

Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (information and communication technology)

Nina uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery, mwananyamala hospital NMB, Magomeni hospital NMB kwa miaka kadhaa na nilishakua supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima.

Hivyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yoyote kama duka, bakery, wakala wa maswala ya fedha nna uzoefu nayo pia, secretary, receptionist, cashier, customer care au supermaket kazi yenye kuniingizia kipato kizuri

ASANTE

Namba yangu ya simu ni 0710444699
Usipende sana kuweka namba public

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hello marafiki wa JF

Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (information and communication technology)

Nina uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery, mwananyamala hospital NMB, Magomeni hospital NMB kwa miaka kadhaa na nilishakua supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima.

Hivyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yoyote kama duka, bakery, wakala wa maswala ya fedha nna uzoefu nayo pia, secretary, receptionist, cashier, customer care au supermaket kazi yenye kuniingizia kipato kizuri

ASANTE

Namba yangu ya simu ni 0710444699
kama utaweza komaa ufike dipo, hapi hata seriklin unapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom