Msaada wa nondo za maswali ya vocational training teacher (VETA)

mimi20

Member
Jan 16, 2021
14
24
Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi.

Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral.
 
Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie
 
Mie ngoja tu nikafanye hiyo interview aiseee then matokeo nitajua mbele kwa mbele maana sielewi hapa
 
Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi.

Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral.
Tunaomba mrejesho mkuu practical interview ilikuaje??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom