Recent content by mimi ni mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mm ninyao mpya kabisa Lg inch 32 nicheki 0762303690
  2. M

    JamiiForums Tanzania NSSF na fao la kujitoa

    Acheni uwongo nyie Rais alisema ntu apewe akifie mbele lkn ss hv ukienda unaambia ww km proffesional katafute kaz ss huwa nashindwa kuelewa Rais alituongopea kutwambie tukachukie chetu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: ATCL badilini ratiba ya ndege ya Mtwara ili kutupatia unafuu wananchi wa Mtwara

    Ukitumia ATCL huwez panga ratiba yako kuwa utasafr ln na saa ngap muda wowote ratiba inabadilika walikuwa na ndege mwanza ya sa12 asubuh na saa nane na saa moja kwenda mwanza gafla u ashangaaa ndege ya saa nane haipo wakat kipind cha fastje pamoja na kususua aliweza kweka ratiba nzur saana ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shilole, wewe ndiye hovyo zero kabisa. Pierre Konki Liquid kuwa makini na usalama wako tena sana

    Ni kweli kabisa acha mtu atumie fursa hii maana ni kwa muda tu na baadaye itapotea wivu mbaya saaana roho mbaya tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

    Atapitaje mikumi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kituo cha Mawasiliano kinaitwa Simu 2000?

    Cjawai hata kujua kwann waliita hivyo utaitaji jina ambalo hata mtu akisoma anashindwa kulewa gar inaelekewa wap lkn watu na viongoz wapo tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

    Masaa 4000 ni sawa na miez 5.5 service canada ya 7b
  8. M

    JamiiForums Tanzania Raymond Kigosi alalamika kuibiwa baadhi ya mali zake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nyerere

    Watu wengi saana pale wamibiwa hata mm ni mmoja wao nilishawai iibiwa na beg langu lilikuwa na kufuri likabunjwa nikalalika ww matokea yake hakuna nilichopata Hao swisport ni wez wa kutupa mzee lkn hili suala limeachwa liendeleee kutuumiza wakat hawa vijana ndo wanaoiba wakat wanapak kule kwenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Na siku akifa uje tena usema haya maneno yako
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais, NSSF wamegoma kutoa fao la kujitoa wanadaia mpaka uwape waraka

    Mh rais nilidhan kuwa ile kauli yako na tamako ingetosha kabisa hawa jamaa kuanza kutulipa mara moja mafao yetu lkn ch kushangaza zaid ukienda ofcn kwan wanadaia hawajapata walaka hvyo hwawez kulipa chochote nn kitu ss kinaendelea au lile tamko litaanza lin kufanya kaz tujue mapema
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais, NSSF wamegoma kutoa fao la kujitoa wanadaia mpaka uwape waraka

    Mh nasikitika kusema kuwa ule muongozo na maelekezo uliyotoa ck unaongea na wafanya kazi naona bado watendaji hawajackia ukienda kudai mafao yako NSSF wanadai hawajapata walaka wowote toka kwako hivyo wanagoma kutulipa. MH rais ina maana tamko lako halitoshi watendaji kuanza kulifanyia kaz mpaka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho fao la kujitoa kutoka NSSF

    Ukiendaa NSSF wanataka walaka uwafikie ndo waanza kuprocess vinginevyo hawako tayar
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa fastjet

    Jamaa wanatesa watu hapa kuna watoto wala hakjna anayejali kuna abiria wa yoka juz hap hawajasafiri lakn hakuna mamlaka yoyote inayojali
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Fastjet: Abiria wanacheleweshwa sana kwenye safari zao

    Ukatili unaondelea kufanywa na Fastjet sio wa kufumbia macho. Yapata wiki nzima sasa abiria hawasafiri kwa wakati ndege zinaahirishwa bila kupewa taarifa. Leo asubuhi nilitakiwa kusafiri kutoka Mwanza kwena Dar saa mbili asubuhi mpaka sasa navyoandika saa 21:35 ndege haijulikani inafika saa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa fastjet

    Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena dar saa mbili asubuh mpaka ss navyoandika saa 21:35 ndege haijulikan inafika saa ngap na tumewekwa...
Back
Top Bottom