Recent content by mimi chaka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mgonjwa mahututi asiombwe hela ya Mafuta ya Ambulance

    tamko kama hili siyo geni sana. tumeyasikia sana matamko km haya, lkn hatuoni impact
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lutgard Kagaruki: Marekebisho ya katiba sio suala la hiyari ya kisiasa ni hitaji la dharula

    sasa bc kama ni hivyo, nani mwenye mamlaka, final say, au niseme wajibu wa mwisho ktk hili? ni rais, mahakama, bunge au wananchi? nani anapaswa kulisimamia hili la katiba mpya? kama kweli ni hitaji la kidharula
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    ahsante kwa kunifungulia 'code'. nimesoma hii mada lakini sijang'amua kitu, kwa7bu mimi c mfukunyuku saaaana 😅😆😆😁😄😙
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mods Angalieni Uwezekano wa Kurudisha Application ya Zamani ya JF

    hii app mpya niliipakua na baada ya kuona ina mapungufu, nikaifuta. matumia google au chrome kuingia jf
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

    kwa mfano kama kwa anko T, unataka ushahidi gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka X ukurasa Wa Roma Kuhusu Waziri Katambi.

  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

    tulia ackson
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

    mimi naomba kuuliza, hivi hiyo biblia imetuelekeza vipi katika kufanya ibada? yaani ni hatua gani za kufuata 1~2~3, tukizifanya kwa ukamilifu ibada yetu itakuwa imekidhi vigezo. narudia tena, maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwny biblia. siyo mafundisho ya kanisa, kwani ninachokiona sasa ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

    huwa wanakuwa €¢÷π✓°^ chafu, kwani hawawezi kujisafisha vizuri, namna bora ya mwanamke wakati wa kujisafisha ikulu lazima aingize 🤟, sasa kama amebandika hayo makucha ya kishetani, atawezaje kujisafisha?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unatumia sabuni gani kuogea?

    ya magadi
Back
Top Bottom