Recent content by millionroses

  1. M

    mtoto halali usiku

    asanteni kwa ushauri lakin sasa kama mjuavyo kila mtu huwa na wazo lake kutokana na ulezi wake kwa watoto wa kiume...baadhi ya watu wangu wa karibu wanasema ana CHANGO ndio linasababisha asilale usiku kwani huwa kama anajikunja kunja na kama ana gugumia hivi....binafsi nilimpeleka hospital...
  2. M

    mtoto halali usiku

    mkuu skidemount unamaanisha niwe namuasha wakati mwingine anapokuwa amelala????
  3. M

    mtoto halali usiku

    habari wana jf....nimejaliwa kupata mtoto wa kiume ambaye kwa umri ana mwezi na nusu sasa...mchana kutwa anashinda amelala akiamka ni kunyonya na kuendelea kulala..amekuwa akilala hadi saa tano au sita usiku baada ya hapo akiamka ni halali tena ikibidi hadi asubuhi...kwakweli napata shida...
  4. M

    NMB MOBILE mnatuboa watanzania

    karibu tpb popote..benki ya posta hutapata tabu za namna hiyo mkuu
  5. M

    Kuandika list ya majina ya wanawake uliowahi kuwa na uhusiano nao wa kimapenzi

    Habari wanajamvi...hivi inakuwaje mtu unaandika list ya majina ya wanawake uliokuwa na uhusiano nao wa kimapenzi tena wadada sio chini ya saba..then mpenzi wako akikuuliza ya nn???? huna cha kujibu na zaidi akitaka kuichukua hyo diary ulipoandika hayo majina unaonekana kukwazika na unaificha...
  6. M

    "Natamani Mpenzi wangu asafiri"

    babu yangu aliniambia dawa ya mwanaume kiburi na jeuri hata aweje ni saa kumi usiku....na usibishane nae...kaa kimyaa..aongee weeeh....atakitembeza ila atakirudisha tu mwisho wa siku.
  7. M

    Nipo njia panda kijana mwenzenu..

    hapa ndio pale watu wanapojinyonga maana mtu anashindwa kuamua...fanya maamuzi magumu mamii
  8. M

    Mpenzi wangu jamani

    ha ha ha ha.....kaka kugusa huwezi hata kupapasa...poleeee eeeh
  9. M

    Msaada tafadhari

    Huo ugonjwa unasababishwa na kupata choo kwa tabu sana..tatizo linaanzia kwenye vyakula anavyokula mtu.vyakula hvyo ni jamii ya ngano hasa mikate, chapati,.Pia kutokunywa maji mengi, mboga za majani na kutokula matunda kwa wingi hasa mapapai. kukosa choo huko huanza taratibu na tatizo likiwa...
  10. M

    Mwanaume anayekataa kutunza mtoto wa mke yuko sahihi?

    hapo na mwanaume angekuwa na watoto kabla ya kukutana na huyo mwanamke basi wala kusingekuwa na malalamikom hayo...wanaume wa siku hizi kwa kukimbia majukumu hawajambo...kama mwanzoni walipokutana huyo bibie hakuwa muwazi basi muache ateseke lakin kama alimwambia na akakubali kwann ajitie...
  11. M

    Daktari aliyesoma CBG

    Me napita tu hapa..ngoja niwaache wakuu..maana I dd CBG na walinidamp kusoma huo udoctor
  12. M

    Mapenzi yanaweza kukubadilisha zaidi ya ufikiriavyo, kweli mapenzi upofu

    dah ni mbaya sana mwanamke kunywa pombe,,mwanaume ndio kichwa cha familia,,sasa ww huwezi kumbadili mkeo tabia utaweza kweli kuwabadili watoto,,...mmmh pole weee
Back
Top Bottom