Mpenzi wangu jamani

Mpenzi wangu jamani

mkuu huyo gf anakuja kwako au mwanza ()?
 
U​ngeenda tu uwanja wa ndege ukachungulia kwa mbali kuna kitu labda ungegundua. Hakuna sabau ya maana kukuambia usimpokee labda siri nzito
 
Naombeni ushauri wenu wana jf!,Nina gf wangu Anatokea Dar anakuja Mwanza na ndege ya mchana huu, cha ajabu nimemwambia kuwa nakuja kukupokea AIPORT amenikatalia anadai nisiende tutaonana nyumbani! Kanipigia tena ananiuliza et kama nimechukia!,
Na wewe unakuwa kama hujawahi kula furu, wewe zuka mzima mzima hukohuko eyapoti. Kama akianguka kwa kihoro cha kukuona shauri yake!.
 
Asanteni kwa mchango wenu wa mawazo! Shemeji/wifi yenu walikuja ndugu zake pale uwanjani,ila gharama za kuja mwanza nilikuwa nimetoa mwenyewe ili awahi kufika! Kuhusu kuzuiwa CJATAMBULISHWA RASMI! Asanteni sana!
 
pole sana coz hapo atakuwa yupo mwanza tangu juma 3 au last week kabisa!! ama anatua na mtu aliyempa nauli na ame mwambia anafikia kwa dada, mama mdogo au shangazi!!

wanasema ""chezea madem wa dar wewe''
 
pole sana coz hapo atakuwa yupo mwanza tangu juma 3 au last week kabisa!! ama anatua na mtu aliyempa nauli na ame mwambia anafikia kwa dada, mama mdogo au shangazi!!

wanasema ""chezea madem wa dar wewe''

Yaani nimecheka,dah!
 
Kakupnguzia gharama za kwenda airport, we msubiri si anakuja kwako? halafu vitu vidovidogo kama hivi ya nini kuvileta janvini?. Jiunze kuhandle issues zako mwenyewe kwanza kabla hujashrikisha wngine.
 
Back
Top Bottom