Wachunguze washiriki wote hapo pichani...hakuna aliye natural hata kidogo. Ni wazuri ila urembo umewafanya waonekane wazuri zaidi na mvuto zaidi. Amini ni vigumu sana mwanamke kusifiwa mzuri asipokuwa na urembo uliyopangiliwa.
Ha ha haaaa...kaka asikuongopee mtu(ushabiki sifa tuache pembeni) kuku wa kizungu(familia bora) ni vigumu sana kuwapata ki urahisi rahisi. Ila kuku wa kienyeji (baadhi ya dada zetu wa Uswazi) kitu laiini kama unasukuma mlevi.
Kumbuka kuna tafauti kubwa sana kati ya uzuri na urembo. Hicho kilichokupagawisha hapo ni manjonjo ya urembo.
Je, shemeji yangu nae huwa unamruhusu kwenda Salon?
Siyo mchezo...mtoto amewekwa kope zilizokwenda shule,ana make up ya ukweli na juu ana Malasiyan weaving.
Urembo unachangia mwanamke kuwa mzuri...angekuwa natural kama msitu usingemsifia kiasi hicho.
Mkuu, hii Camera ilikuja na kila kitu kwenye begi yake ikiwamo hiyo flash yake...ila hiyo extra long miles lens niliinunua peke yake. Mkuu, Canon 7D ni mashine ile mbaya!!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.