Recent content by Millennium bahati

  1. Millennium bahati

    Full Time: UEFA Champions League Final: PSG 5-0 Inter Milan | Mei 31, 2025 - Allianz Arena Stadium

    Imekua sasa final isiyo na mvuto kama ile ya spurs na liver
  2. Millennium bahati

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sema inaishangaza sana simu inaanguka kioo hakipasuki kinavuja tu wino, huenda hizi kampuni za simu zilikua na uwezo wa kutatua kabisa ili tatizo lakini ndo imeshakua biashara yao kwa mlango mwingine 😆
  3. Millennium bahati

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Na kioo kipya bei yake imekaaje mkuu.
  4. Millennium bahati

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sawa mkuu, kioo chake bei yake imekaaje kwa Sasa.
  5. Millennium bahati

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ndio ni weusi kama wino yani Giza kabisa sioni kitu.
  6. Millennium bahati

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mfano leo pia wakati nabadili line Kuna uchafu ukaingia kwenye uwazi wa kuchomeka pin nikasema nipulize utoke bwana bwana tatizo likaongezeka hewa ikaingia kwenye kioo na ule weusi ukangezeka kwenye screen ata kuona Sasa ni shida. Msaada mkuu apo nifanyaje.
  7. Millennium bahati

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu nje ya mada kidogo, Nina simu yangu google pixel 7 pro Ina shida ikidondoka haipasuki kioo ila inatengeneza weusi ambao unaziba screen na hii inakua inasambaa baada ya mda. Tatizo apo litakua ni kioo Cha kubadilisha au unanishauri nini maana ukiizima kioo hakina ata a mpasuko wowote.
  8. Millennium bahati

    Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

    Mkuu mashine hizo za kukamua alizeti uliagiza nje au ulinunua second hand kwa mtu?
  9. Millennium bahati

    Series (Special thread)

    Hio list ikikosa mtaalam theodore bagwel "T-bag" inakua haijakamilika😂
  10. Millennium bahati

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Yeye mwenyewe raphinha anakiri kama offer za Saudi zingekuja mwanzo wa msimu angeshatimkia uko mapema tu.
  11. Millennium bahati

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Raphinha, Kuna msimu wowote mwingine ameshawahi kutuoffer performance ya juu namna hii kama msimu huu mkuu?
  12. Millennium bahati

    Mambo 10 Niliyoyaona Jana Nusu Fainali Inter Milan vs Barcelona pale Giussepe Meaza

    Ulivyoanza kuweka Usimba na Uyanga ndo ulipoharibu umetoka kuongelea mpira umeamia kwenye siasa.
  13. Millennium bahati

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Wakiimarisha ukuta wao na kuacha mbinu yao dhaifu ya offiside trick.
  14. Millennium bahati

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Wale njiwa mliwaona lakini wakuu🤣🤣😂. Watu bado wapo kwenye tafakari ya msiba wa pope then mnataka mlete machungu mengine mmeonea wapi.
Back
Top Bottom