Habari Wanajukwaa! Naomba tushare uzoefu wa tabia za Wakuu kazini. Mi boss wangu mmoja Alikuwa na Tabia ya kuingia kinyumenyume kwenye mlango wa Ofisi. Mpaka leo sielewi nini kilisababisha tabia hiyo.

Hata we uliyepost ni lofa na mpumbavu!chama kinaundwa na kina Nani??kinaundwa na watu ,na hao watu wana familia na marafki na hao marafiki zao wana marafiki ,mwisho wa siku tunakuwa na jamii nzima ya watanzania wanaotaka mabadiliko ndio wapumbav na malofa ...,..unaposema hakusema watanzania...
Kwan diamond ni nan ??ni mtanzania kama we we!kuna ubaya gani kuonyesha anaye.kubali ni Nani???...halaf swala LA yeye kumchagua magufuli halihusiani na tuzo anazowania ndani na nje ya africa
Magufuli alivyouza nyumba za taifa kwa marafiki zake ??.......lowassa ,rostam na karamagi waliwajibishwa na kuachia nyadhifa zao..!!kama huielew siasa ya tanzania ,usipost chochote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.