Ushindi si LAZIMA - Kinana

Ushindi si LAZIMA - Kinana

Hivi tunaamini maneno ya Kinana kwamba ushindi si lazima? Ni ulaghai wa hali ya juu. This can happen over CCM's dead bodies. Ingawa ni kweli safari hii CCM wamekamatika pabaya!! Tulimwambia Jk aitose CCM hakutaka sikia. CCM ni mzigo angefanya kama Bingu Wa Mutharika.
 
Kauli kama hii ni nzuri sana!tena inafaa sana kwa wakati tulionao!
 
[Tulimwambia Jk aitose CCM hakutaka sikia.]

Byasel:Umejenga hoja vizuri,lakini ulipofika hapo sijakupata kabisa!Jk anausafi gani mbaka aondoke CCM na kuanzisha chama kingine!naamini wewe ni mwanaharakati na mpenda haki!lakini naamini kwa hili umeteleza!na kama unaamini hivyo basi mimi natafautiana na wewe,mimi naamini JK ni fisadi na sehemu ya uchafu wa CCM!!!!
 
unajua watu wengine, mimi nilikuwa nasikiliza huo mdahalo, kuna kipindi jamaa wakati anatoa takwimu za ccm mwisho akasema ushindi kwa ccm ni lazima alkini at the end tena aksema lazima vyama vijue ushindi sio lazima, mimi nilishkwa na butwaa, huyu jamaa anamaanisha vyama vya upinzani ndo ushindi sio wa lazima au anamaanisha vyama vyote+ccm? hakueleweka kabisa, make alikuwa anajiuma uma tu, lakini Dr.Slaa akamtadharisha bwana Kinana kuwa hizo kauli zao ndio zinazosababisha vyama vya upinzani hasa CHADEMA kutokuwa na imani na CCM.

CHADEMA wakisema ushindi lazima, majeshi na vyombo vingine vya usalama vinalalamika, vinasema huu ni uchochezi, mimi siwaelewi hawa, hivi wanafikiri tupo zimbabwe hapa?
 
mara kadhaa nimekuwa nikitafakari kauli hii inayotolewa na viongozi wajuu wa chama cha CCM kuwa ushindi nilazima. swali la kujiuliza ushindi huo unatokana na kura za wananchi?? au wana tegemeo jingine? ni nini haswa kinawafanya wajihakikishie ushindi?
 
wamezoea kuiba kura ..waka huu watatagaa huku wamesimamaaa
 
Hii ni Vita,Na Kwenye vita Hata kama Unaona Unaenda Kushindwa ni Lazima ujipe Matumaini, Ni Kuwatia nguvu Wafuasi Wako; CCM

Walizoea Kushinda Na Imekuwa Utamaduni Wao Kila Chaguzi toka Enzi na Enzi .

Kumbuka Msemaji Wa Gaddafi-Libya Alivyokuwa Anajinasibu; Kumbuka Msemaji wa Saddam Hussein-Iraq, Na Hata Nduli Iddi Amin

Dada-Uganda Kabla na Wakati wa vita ile ya Tarehe 30/10/1978. Wote Walitoa Matamshi mazito Kujinasibu Ushindi dhidi ya Adui.

Mwenye Macha Haambiwi Tazama na Mwenye Masikio na Asikie CCM Miti yote Imeshateza Safari Hii Hakuna Namna yingine Zaidi ya

Kung'oka.
 
Mwaka huu IBENI muone kinakachotokea!! kamuulizeni Samuel Kivuituwa Narobi.
 
Simple mkimchagua mwingine kwa kura wao wanatangaza wa kwao kuwa ameshinda na kumuapisha usiku kesho yake anakuwa amiri jeshi mkuu.
 
mara kadhaa nimekuwa nikitafakari kauli hii inayotolewa na viongozi wajuu wa chama cha CCM kuwa ushindi nilazima. swali la kujiuliza ushindi huo unatokana na kura za wananchi?? au wana tegemeo jingine? ni nini haswa kinawafanya wajihakikishie ushindi?

kwa sasa ccm wanazo kauli mbiu 2 ya goli la mkono na ushindi ni lazima ila yote ni 25 october
 
Uzuri mbinu zao zote tushaambiwa....Mwaka huu kitaeleweka tu labda kura zipigwe huko china ndo zije lkn tutajua kila kitu...
 
Simple mkimchagua mwingine kwa kura wao wanatangaza wa kwao kuwa ameshinda na kumuapisha usiku kesho yake anakuwa amiri jeshi mkuu.

Kirahisi hivyo,sasa kuna haja gani kuingia gharama za uchaguzi?na madhara yake unayajua?muulize Rutto na Kenyata.
 
Back
Top Bottom