Recent content by Mildred

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sikuku ya IDDI EL HAJ

    Tarehe 24th Sep 2015.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sukari guru inatengenezwaje?

    jinsi sukari nguru inavyopikwa, chukua miwa kamua maji yake baada ya hapo weka kwenye pipa halafu pika mpaka ichemke haswa halafu tafuta chombo kisafi kama kikombe then mimina yale maji bado ya moto acha ipoe itaganda ndo inaitwa sukari nguru. uikitaka kujua zaid nenda jukwa ya kenya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Cherehani anahitajika Kinondoni

    Natafuta fundi cherehani, nipo Kinondoni B..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtungi wa Gas Oryx

    wapi nitapata mtungi wa gasi ya Oryx kwa bei nafuu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania's general elections set for October 25: electoral body

    By Xinhua Updated Tuesday, May 26th 2015 at 10:32 GMT +3 President Jakaya Kikwete will leave office after finishing his second five-year term in October, the constitution bars him from running for a third term. Tanzania will hold its general elections on October 25, the country's...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rav4 five doors

    Hallow, Natafuta gari aina ya RAV4 five doors rangi yeyote nina 9.5 million shilligs chap!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Huria au Chuo cha Serikali

    Habari, kuhusiana na topic hapo juu nataka ku apply moja kati ya hivyo vyuo, open university au goverment university. naomba mchango wenu ipi ni nzuri zaidi au rahisi kupata kazi baada ya kuhitimu chuo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Angalia tuliowasaidia kupata uhuru wakipora maduka ya wageni weusi uko South afrika

    Wewe uliyeanza issue ya wahindi hebu acha uvivu fanya kazi. hakuna kitu bora na muhimu kwetu kama amani, kwani hvyo vitu walivyo pora watakula mwaka mzima? mtu unapora mali ya watu halafu baadaye unasikia kuwa amekufa kwa presha labda duka ilikuwa ina loan, unategemea nini? ni laana hizo. tena...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya wavamia Tanzania

    Tanzania bila majungu haiendi ndivyo tulivyo jamani. watu wamekaa tu kimajungu tu kazi hawafanyi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nakula mlo mmoja kupunguza mwili. Je ni sahihi?

    Mimi nilikuwa na kilo 87 nikaaanza maozoezi ya kupanda ngazi za gorofa asubuhi kila siku monday to friday kutoka floor number one to floor number ten taratibu wala sio kwa jogging wala kukimbia ila natembea taratibu. Nikifika floor number ten nakuwa nime sweat sana, nakaa napumzika halafu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini matumizi ya Mabondo ya Samaki Sangara?

    yanatumika kutengeneza vitu vya plastic ndivyo ninavyojua mimi hasa hasa Nairobi sijui huku kwetu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Terrified Burundi Refugees flee as tense polls approach

    As elections in Burundi approach, thousands of people are fleeing into neighbouring Rwanda, fearing violence from the hands of the ruling party's youth wing, the Imbonerakure. Minani, 44, crossed into southern Rwanda last week with his wife and four children, because of what he said were...
  13. M

    JamiiForums Tanzania No Money, No job in Acacia Gold Mine

    Hallow Seba, pliz ni pm tuongee zaidi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je! Ni DAWASCO au mwenye nyumba?

    pale kwetu kuna geti tena kuna mfanyakazi moja tu ambaye tunaamini hawezi kufanya hivyo kipindi hatupo bado ni mdogo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je! Ni DAWASCO au mwenye nyumba?

    Asante sana mdau, kama kuna leakage lazima mita izunguke, jana usiku tulifungua mita sisi na mwenye nyumba lakini tukakuta mita haitembei tulipofungua maji ikawa inatembea for that nafikiri hakuna leakage yeyote.
Back
Top Bottom