"Ufunguo mdogo wa Suleiman) anatajwa kumiliki mapepo 72 ya kuzimu maarufu kama Ars Goetia. Haya mapepo 72 ya kuzimu yalikuwa na nguvu kubwa kiroho na kimwili na yalikuwa yamegawanyika katika sekta mbalimbali kuanzia ulinzi na usalama, elimu, umaarufu, vita, visasi, malipizi, mapenzi, uhai...