Recent content by mikogo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada community loans

    Ni ukweli mtupu. Mini shule. Nimekusoma.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada community loans

    Je hawa ndio walewale walioongezewa mtaji na Mh Lowasa.?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya eneo la Makongo: Watu 18 wahofiwa kupoteza maisha!

    Poleni sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada community loans

    wanajamvi ninawaomba msaada nimeingiwa na hofu kubwa ya labda kuwa nimetapeliwa na taasisi ya Community loans ama kuna matapeli wanaofanya kazi sambamba na taasisi hiyo. Nimejaza fomu za kuomba mkopo katika mtandao na kutimiza masharti yote waliyoyataka ili kunipatia mkopo wa shs 500,000.00...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkaguzi mkuu wa serekali CAG hakagui hesabu za makanisa?

    ya mungu mpe mungu na ya kaizari mpe kaizari. CAG ni wa Kaizari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

    Ni fasheni Kila Atakaye sifa atatamani kuvishwa vilemba vya ukoka. Hilo ni tatizo la udhaifu wetu katika kuhusudu sana utukufu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Hii kitu Green House ni muhimu sana katika mageuzi ya kilimo. Tafadhali usiachie uzi huu tunahitaji mwendelezo ili sote tupate faida.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tumekuwa washabiki,hatufikiri tena

    Maneno yako yanadhihirisha mapenzi mema kwa wana jf. Nakubaliana nawe ili tuwe great thinkers ni lazima kuuepuka ushabiki.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu watukufu,wapenda posho

    Ujumbe kwao kwa hilo tutawasuta sana tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Umeshawahi kujiuliza hili?

    Ndugu yangu mtawala yeyote hupenda atawale milele. Wegi katika viongozi wetu hawaaminiki katika matamshi yao sababu hata wenyewe huwa hawaamini wanachokitamka. Mifano yako ni usahihi wa ghilba zinazotutesa Watanzania. Tuko radhi kujenga Mahekalu yenye kuta ndefu bila kujali kuwa kinyesi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Jakaya Kikwete tunakuomba uandike historia

    Atiii.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa posho za wajumbe wa bunge la katiba unaweza kuvuruga mchakato wa katiba

    Namuomba Mheshimiwa Rais atoke hadharani na kuwaelekeza Wabunge hakuna pesa za ziada na atakayeona hazitoshi ruksa kujitoa hapo Bungeni. Compliance na madai yao yatatuhuzunisha sana Walala hoi. Nchi ni ya Wanainchi na si Viongozi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunataka katiba, wabunge wanataka kuwa mamilionea

    Hiyo ndiyo taswira ya watu ambao kila siku wanapiga porojo za kuwa wazalendo wa nchi hii. Kama haziwatoshi warudi makwao. Nchi hii tukiendekeza matumbo tutashindwa kuijenga. Litakapotokea la kuihami nchi tutajikuta tunaulizana bei.
  14. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

    Inasikitisha sana, Dua kwa Marehemu
  15. M

    JamiiForums Tanzania RENZO na VIRAGO!! HOJA BINAFSI

    wapeni taarifa renzo wajibu maswali hayo ili kuwa safi ktk jamii ya biashara.
Back
Top Bottom