Recent content by Mikitariyani

  1. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza techno spark 3 yangu Location no Tanga mjini (jiji) Specification Ram 2 GB Rom 16 GB Finger print Camera 13 megapixel Ipo kwenye good condition ( clean as new ) Price 120000 Haina changamoto yoyote Nichek hapa 0656362920
  2. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50)

    Hiii ndio ndoa sasa Inabid utaratibu huu uje bongo pia . sio ndio inakua kama jela huwez kubadil ata laza uko nje
  3. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

    Moses lijenje yuko wapi
  4. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya Sumbawanga/ Mpanda kwenda Bukoba

    Shukran Mkuu nazan nitaenda na hii option
  5. Mikitariyani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiufundi Simba Kuna tatizo kubwa

    Pitch haikua rafiki Leo ni butua butua tuu tusubir wakorud kwa mkapa
  6. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya Sumbawanga/ Mpanda kwenda Bukoba

    Humo ndani ya gari inabid upande na oxygen yako 😂😂😂
  7. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya Sumbawanga/ Mpanda kwenda Bukoba

    Habari wana JF, Nomba msaada Wa kujuzwa kama kuna usafir Wa basi kutoka maeneo haya Sumbawanga/ Mpanda kwenda Bukoba. Natunguliza shukrani
  8. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

    Waliokua wwnatoa siri nawao walikua hawapendezwi na uongoz Wa mwendazake, kwaiyo walikua wwnafanya kama kmkomoa so ameshakwenda zake hawaitaji tena Ku mvuruga mama
  9. Mikitariyani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Ndio ilivo ache aanze kula faida zake
  10. Mikitariyani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Kwanini hawkuweka sasiav wakat tender imetangazwa
  11. Mikitariyani

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Hii changamoto ya kutokuona masomo inatutuliwaje ?
Back
Top Bottom