Recent content by Miki123

  1. Miki123

    Uwezo wa Marais wa Tanzania kwa kuangalia ukuaji wa uchumi kwenye miaka mitano ya mwanzo (GDP per capita)

    Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili) 1. Rais Benjamin William Mkapa Kati ya mwaka...
  2. Miki123

    Akili Bandia ya 'Bard AI' sasa inakubali lugha ya Kiswahili

    Kwanini hausemi android ni copy ya linux?
  3. Miki123

    Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kagera imezidiwa na Arusha pitia reference utaona
  4. Miki123

    Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Hata za sasa hivi Shinyanga inaizidi Arusha. Pitia nbs
  5. Miki123

    Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  6. Miki123

    IMF 2022: Tanzania ipo Nafasi ya Nane kwa uchumi Mkubwa Afrika

    Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022. Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja. Ila tofauti ya...
  7. Miki123

    Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

    Unasema limeisha Kwa kutoa jibu ambano huna uhakika nalo. Unafananisha share za serikali zilizowekezwa kwenye (real economy) yaani uuzaji WA bidhaa na huduma na uwekezaji WA kwenye bitcoin. Shea zinawakilisha umiliki WA shirika ambapo wamiliki mwisho WA mwaka hugawana faida ama hasara. Great...
  8. Miki123

    Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

    El Salvador wanaspeculate Hilo halina ubishi na ndio maana baada ya thamani ilivyopanda wakauza bitcoin 20 na faida kuitumia kuitumia kujenga shule. Hakuna siku imetokea BoT wameuza Dola pale ambapo TZS imepanda ili wapate faida kama el Salvador wanavyofanya. Hata Rais amesema kuwa faida...
  9. Miki123

    Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

    Currency Speculations ipigwe marufuku na hatua kali zichukuliwe kama wafanyavyo wachina. Faida ya bitcoin inapatakinaje? Bukele alijinasibu kutumia bitcoins kupunguza mdororo wa uchumi. Foreign currency(na sio cryptocurrency) inahitajika TZ kwa sababu ya kufinance miradi na pia ku-import na...
  10. Miki123

    Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

    Uliniuliza swali kuhusu rais wa TZ kumiliki TZS Halafu unauliza tena swali lingine na mada nyingine Na kwa msingi wa swali hili inaonyesha hiyo El Salvador yenyewe hufaitilii kiundani. Pamoja na BTC kugeuzwa legal tender, el salvador kwa sasa wanaspeculate vile vile, Serikali ya El Salvador...
  11. Miki123

    Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

    Ni kosa sana rais kuhamasisha kamari na yeye akiwa mshiriki. Au wewe unadhani jero ya TZS anayomiliki raisi ana-speculate akisikilizia ipande thamani aiuze?
  12. Miki123

    ( Mkutano wa FOCAC Dakar) Fursa Mpya za Ushirikiano kati ya China na Afrika (2): uchumi wa kidigitali watazamiwa kuwa sekta mpya ya kuvutia

    Kaichangamshi au anainyonya sababu ya kuzubaa Kwa viongozi wapuuzi WA afrika mfano wa Zambia na DRC. Migodi ya Cobalt ya Congo kipindi inamilikiwa na wamerikani maisha ya wafanyakazi na watu wanaozunguka hiyo migodi ilikuwa Bora kuliko hivi sasa ambapo wachina ndio wanaimiliki na kupiga pesa...
  13. Miki123

    ( Mkutano wa FOCAC Dakar) Fursa Mpya za Ushirikiano kati ya China na Afrika (2): uchumi wa kidigitali watazamiwa kuwa sekta mpya ya kuvutia

    Mwenye hii ID bila Shaka ni mchina au kibaraka WA wachina kila nyuzi ni China. Wezi kama wazungu Tu.
Back
Top Bottom