ww ulietoa post sidhan hata kama unaish ubungo yaan laiti ungejua ambavyo hatulipendi hilo li baba lenu la ccm hilo usinge jisumbua kabisa kupost huu ujinga sisi tunachotaka kazi anayoifanya kubenea kwenye magazeti akaifanye bungeni hilo li babu lenu litafutieni sehem ya kulipeleka
Hv kuna ubungo nyingine au ni hii hii ya hapa bongo dar es salaam yaan lait ambavyo mngejua tusivo mpenda huyo baba heeeeh cjui ngoja tuendelee kusubir hiyo tarehe
Hv mnadhan magufur anaichukua hii nchi nan kasema hii nchi cyo ya bongo fleva na hapa mtwara tunamsubir kwa hamu kubwa sana na hyo fiesta yake mziki tutacheza ubwabwa tutakula lakin kifo kipo pale pale kura kwa lowasa tu..
Mie labda niwa ambie kitu watu wa ccm hata sisi tunajua mko karibuni kukata roho na dunia nzima ina jua kukata roho siyo kazi rahisi huu ni mwaka wa mabadiliko
Hv hivi vijamaa vya ccm vilivyoko mitandaoni humu huwa havina mambo ya kuelezea zaidi ya kumuekezea kidume lowasa kama baba zao wanavo mtukana lowasa kweny campaign mi labda niwa ambie kitu trein ikisha changanya ni vigumu sana kuidanda kwa mbele lakin pia si shangai kwan kukata roho siyo kazi...
Mara tunaijua sisi wenye Mara acha kuongopea watu mi mwenyew ubwabwa nimekula elfu 20 takoni na diamond naenda kumuona lakin kura ukawa kwani wataniona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.