Dkt. Magufuli aihofia timu ya kampeni za CCM

Ameanza kuingiwa hofueee.

Mwambieni ni Lowassa kila mahali,hata viongozi wa ccm wa wilaya na mikoa
 
Amesema baadhi hajasema wengi.UMEBOBEA KWA UWONGO AU UMELEWA POMBE YA UKAWA

Tofautisha utofauti kati ya wengi na baadhi, kinyume cha wengi ni wachache na kinyume cha wote ni baadhi. kwa hiyo wanaweza wakawa wengi lakini sio wote kwa hiyo mleta mada yuko sahihi
 
Akinena Mjini Bukoba jana, Magufuli amedai amegundua wengi wana muunga mkono mchana lakini usiku wako kinyume.

ANGALIZO,
Ufalme ukigawanyika hauwezi kusimama.


Magufuli kashajua, Wana CCM almost 60 na zaidi wako kwa Lowassa...!!!

Ameliona hilo wazi wazi mara nyingi... kaona mchana watu wamebebwa ktk malori, ila wakirudi home kwao... WANAMSEMA HAMNA KITU PALE...

Kasema ukweli... hali yake na CCM ni mbaya sana saaanaaaa...!!! At least he declared openly...!!!
 
Kwani hakuwepo kwenye NEC akasikia walichokuwa wakiimba?
 
Hata sio timu ya kampeni ni timu ya matusi
Na matusi siku zote kazi yake ni kubomoa,
mfano,kibajaji amekomaa na ugonjwa
anashindwa kuelewa kuwa wapiga kura karibu wote hakuna ambaye hajawahi
kuugua,hivyo kwa maneno mengine anaongeza hasira za wapiga kura
na hukumu yake wataiona ifikapo oktoba 25.

Bahati nzuri kura zote zina nguvu sawa,ilimradi inakidhi vigezo
hata mgonjwa akiweza kupiga kura siku hiyo itakamilisha hukumu ya watukanaji.
 
Amesema baadhi hajasema wengi.UMEBOBEA KWA UWONGO AU UMELEWA POMBE YA UKAWA
Tatizo lako ni neno 'wengi' na 'baadhi' kwani unaijua idadi ya baadhi ni wangapi.

Magufuli ni mchanga sana kwenye siasa na ndani ya CCM ameingizwa kingi na king makers, hahahaaaa.

Siasa za sasa zinahitaji mtandao yeye anategemea chama wakati chama chenyewe kina mitandao yake.

Amekuwa akisikika akisema serikali ya Magufuli badala ya serikali ya CCM,

Mwenzake Kikwete alisubiri hadi kaapishwa ndipo akasema urais wake hauna ubia ni wake na familia yake yeye kaanza mapema, hawajui CCM.
 
Leo TWAWEZA watatoa utafiti wao.. ambayo inaongozwa na miriam sarungi baada ya hapo siku zijazo REDET watatoa zao lkn nawaombeni mjue ni kwann JANUARY alitangaza asilimia zile,,,ule ulikuwa ni mpango ambao kwss utafuatiwa na TWAWEZA, halafu REDET yote yaki pendelea CCM na kutengeneza mazingira ya kuiba kura maana hawana namna nyingine. Kutokana hali hyo nawaombeni ndugu zangu msiwe na wasiwasi ppt ulipo endelea kupigana
Taarifa za uhakika nilizopata CCM imeandaa utafiti feki kupitia Twaweza....watasema Magufuli ana asilimia 68% na Lowassa 22%

Ripoti halali wanayo ya Lowassa kuongoza lakini watatoa ripoti Feki.

Kwa huu muda wa asubuhi mpaka saa 4 pigeni kelele kupitia njia mbalimbali kulaani ushenzi huu.Tumieni JF,FB,tweeter,Instagram nk...
 
Back
Top Bottom