Recent content by Mike Scofield

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa endapo Dr. Magufuli atashindwa Urais wa Tanzania?

    Hapana ndugu! Hilo ni swali la msingi kabisa kwani latusaidia kujiandaa kisaikolojia kwa jambo ambalo linawezekana kabisa kutokea: vile vile uongozi na wanachama wote wa ccm inabidi waandaliwe kisaikologia kwa uwezekano wa kuwa kile kitu ambacho hawajawahi kuwa na uzoefu (experience) nacho...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Public enemy number one of Tanzania title goes to "Rostam Aziz"

    sio jambambazi wa uchumi bali ni jangili la uchumi na fedha za umma!!! Sijui alipenyaje mpaka akaingia ndani kabisa jikoni mwa chama chetu kitukufu!!! Lazima tujue shetani kumuingiza ndani kazi rahisi, lakini kumtoa, mbinde!
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA sasa ndio inashika nchi CCM sasa kuwa chama cha Upinzani!

    Na wapinzani hao wapya machachari wakiendelea kufanya mikutano au maandamano bila vibali vya police kama walivyo zoea watapigwa tu! Na mimi nitasema: na wapigwe tu! Maana tutakuwa tumeshawachoka kabisa!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kamari ya kumtosa Lowassa na kumpitisha Makongoro

    Ndugu yangu, hii si woga, el akiingia tu magogoni kuna vigogo watakao tumia vyoo vya ndoo bila kupitishwa mahakamani nanakuhakikishia. Iwapo alijito au alitoswa ili kuokoa kundi zima katika ile kashfa, alistahili walau kuthaminiwa lakini shukrani aliyopata ni kuitwa fisadi! Walahi nakwambia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

    Mimi sipendi fisadi lakini nitamchagua EL ili akiingia magogoni amweke lupango mkulu! Nauhakika EL atafanya kama Mwanawasa alivyomfundisha adabu mtangulizi wake kule Zambia. Watz tukunje ngudo na kumchagua EL ili haki ifanyike kwa yote mkulu aliyotutendea.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    ambaye hajafanya uasherati na arushe jiwe!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania woman gives birth in a car at Durban refugee camp

    Ukweli ni kwamba Watanzania ni wengi walio katika makambi na nje ya makambi huku Bondeni. Tatizo ni kwamba Afrika Kusini wako makini sana habari za Watz. kuteseka huku zisionekana kabisa kwani ni soo sana katika dhamiri zao habari za namna hiyo ukizingatia ukarimu walioupata toka TZ wakati...
  8. M

    JamiiForums Tanzania South Africans need nyerere's wisdom on the xenophobia psychosis

    Nyerere once warned, "... the sin of discriminating a group from others on the basis of tribe or religion, will never end with that particular group, rather, will continue infinitely ..." Many South Africans are surprised that now most of the so called foreigners have been ferried to their home...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Nyerere kuhusu ubaguzi yajirudia Afrika Kusini!!

    Kwa wengi wa Afrika kusini, leo wameshangazwa na fujo zinazoelekezwa kwa makabila ya wale wasioongea Kingoni. Wanalalamika kwamb baada ya kufukuza raia wa Kigeni Afrika kusini (Xenophobia) sasa wameanza na raia wasio Wangoni (ethnic cleansing)! Makala ifuatayo toka gazeti la Daily Mail la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Prayers no defence as Kenya gunmen sought out non-Muslims

    In your mind such actions are satanic, but in theirs this is a perfect justice system: A judge, jurry, trial, followed with sentencing and execution of the guilty and an aquital of the innocents. Justice carried out, religious court of law in action!!! My god almighty save us from this type of...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    Watz wengi wamekuwa dhaifu sana kimwili, tunahitaji shule za namna hii za kukuza misuli na ukakamavu. Kama ni mafunza makali ya karate na judo, nami nitajiunga, sijui kujiunga kuna sharti au?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    Subiri tu, utasikia ni "kitu chenye ncha kali" kumemuumiza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Kwa kweli huyu ni dokta wa siasa!! Ameacha watu wachimbane vijembe mpaka alipoona upepo unaelekea wapi ndipo ajifanye yeye hakuwa katika hilo!! Kwanini aachie ugomvi ufike hapo ndipo aelezee dhahiri nini karata ya serikali katika swala hili? Huyu jamaa ni mwanasiasa kweli kweli!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania lIPI LILIKUWA LENGO LA KUFUTA MAHAKAMA YA KADHI?

    Serikali ya awamu ya kwanza ilifanya mambo mawili ambayo yaligusa dini na kuzua malalamiko ya viongozi wa dini husika. la kwanza ni lile la kufutwa kwa utiriri wa mahakama zilizokuwa wakati wa ukoloni, likijumuisha na ile mahakama ya kadhi iliyokuwa chini ya dini ya kiislamu na kuziweka zote...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Top 10 Most Murderous African Presidents of All Times

    This is very biased report!! Sipendi kutetea mauaji na ukiukwaji sheria wa baadhi ya viongozi wa Afrika lakini kuwe na uwiano wa kutoa taarifa na kuweka kumbukumbu sawa! Marais mbali mbali wa makaburu wa Afr. Kusini waliua si tu malaki ya Waafrika, bali pia majasusi wao walihusika kwa kuua...
Back
Top Bottom