Recent content by mike Naluyaga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Mathematics, History na Geography wanatakiwa.

    Geography is my subject, hebu nicheki!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Mandela alikuwa mwamba wa Africa, Dunia nzima inalitambua hilo, RIP Mandela, tutakukumbuka kwa yote uliyoyafanya mazuri ktk bara la Africa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora...!!

    Hii ni dhambi au ni shetani wake ndo alimtuma.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Huyu demu atakuwa hana mvuto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora...!!

    Jamaa noma huyo, lkn anahaki ya kufanya hivyo maana ngozi ni yake.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwahili la zito chadema imechemka sana.

    Tusubili hitimisho la mwisho kwa wahusika, kama kweli walihusika wanastaili kutimuliwa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Weka namba yako ya simu hadharan, tukutafute.!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo yenu tafadhali

    Ushauri mzuri, we muulize, anakupenda kweli, kama ndo hivyo huyo anakupenda.!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

    Hii noma!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

    Mi mwenyewe nakubali walimu ndo dili.
  11. M

    JamiiForums Tanzania mke amkimbia kwa sababu ya kuwa na uume mdogo.tumsaidie kivp wanajf??

    Inatakiwa atumie dawa za kienyeji, aende kwa waganga.
Back
Top Bottom