Recent content by Mike Moe

  1. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Hotel or lodge, Airbnb nzuri kwa Dar

    Hello guys habari za asubuhi Samahani naomba kwa wenye kufahamu hotel, lodge au airbnb kwa hapa Dar es salaam ambayo naweza kaa kwa usiku mmoja wa leo ila cost zisivuke 150,000 Naomba kuzifahamu kwa majina na maeneo zilipo zisiwe nje sana ya jiji ili iwe rahisi kwa asubuhi kureport kazini...
  2. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya hisa(VIS - ETF)

    Habari za muda huu wanaJF naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao...
  3. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Nani anajua kuingiza pesa kupitia YouTube Automation anisaidie

    Ngoja nichukue siti
  4. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Niandikie hata pm kama hutojali
  5. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Leta tajiri
  6. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba Frem Dar es salaam

    Nataka chumba master mitaa ya uhamiaji kurasini mkuu
  7. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Nipe info hizo tajir tuone inakuaje
  8. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
  9. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Karume

    Vinakuaje
  10. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Karume

    Kwann mkuu
  11. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Karume

    Habari za asubuhi ndugu wanajamii naomba kuuliza kwa wataalamu wa bei elekezi pale mitaa ya karume viatu vizuri kwa ajili ya mpira wa miguu bei yake ya kuuza ni shingapi Msaada wa kufahamishwa hili kwa wataalamu
  12. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Matumizi Affidavit na deedpoll

    Sijabadilisha chochote nilichoamua nikukubali kutumia majina yaliyopo kwenye nida cheti cha kuzaliwa maana yako sawa na kukana majina ya kwenye vyeti vya taaluma kwaiyo taarifa zangu zozote natakiwa kutumia majina niliyoyakubali
  13. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    Inavyosemekana hajaenda kuzindua bandari ya kwala ameenda kufanya uzinduzi wa safari za train ya mizigo rasmi
  14. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Matumizi Affidavit na deedpoll

    Nilitafuta deedpoll mkuu, affidavit haina kazi kwa mwajiri
Back
Top Bottom