Haina shida mkuuSina knowledge na hivi vitu mkuu.
ma jobless kuku roga ni kugusa😂Uchaguzi ujao natangaza Nia kama LISU ya kugombania nafasi yako mh Rais! 🤣
Mimi ndugu yako utanifanyia ivo kabisa? Si Demokrasia Mh Rais 😂ma jobless kuku roga ni kugusa😂
Mtapigwa na wahuni mchana kweupe. Serikali haijawahi kutoa tangazo kama hilo. Hao ni wahuni wa kitaa ndo wanatoa hizo pdf fakeMkuu wewe hukulioma Tangazo la Serikali lililotoa nafasi kwa wahitimu kurekebisha majina ya vyeti vya shule viandane na majina ya NIDA?
Nafikiri affidavit ile ile ya mwanzo inaweza kutumika provided kwamba ameitwa kupitia Majina na nyaraka alizowasilisha kabla
Wenzio tuna matatizo, uki tuona lazima ukimbie 😆Mimi ndugu yako utanifanyia ivo kabisa? Si Demokrasia Mh Rais 😂
Niliwahi kuajiriwa Serikalini na kupata hard check # na kila kitu with only affidavitNafikiri affidavit ile ile ya mwanzo inaweza kutumika provided kwamba ameitwa kupitia Majina na nyaraka alizowasilisha kabla
Affidavit ni kielelezo halali ku-certify nyaraka nyingi muhimu hata Kwa mtu anayetaka kuasili mtoto/watotoNiliwahi kuajiriwa Serikalini na kupata hard check # na kila kitu with only affidavit
Mkuu mimi kwenye vyeti vyangu vya kidato cha nne na cha sita, majina ni mawili na initial katikati Yani (Juma A juma) ila cheti cha kuzaliwa na nida kimeandikwa (Juma Ali juma) je kwa case hii nahitaji kuwa na affidavit kuthibitisha umiliki wangu??Affidavit ni kama majina yanatofautiana herufi ndiyo mara nyingi hutumika.
Na kila unapohitaji kufanya jambo fulani lazima uchukue Affidavit nyingine kwa kazi husika.
Deedpoll ni hati ya kubadilisha jinaama kurekebisha majina yaliyokosewa na hii inakuwa ya kudumu tofauti na Affidavit ambayo utahitajika kuwa nayo kila mara litokeapo jambo linalohitaji Affidavit. Deedpoll lazima ufike ardhi tofauti na Affidavit ambayo ni kiapo cha mahakama unaweza kupata Affidavit kutoka kwa hakimu ama wakili.
Wengine wenye uelewa zaidi watanisaidia.
Kwa case yako ukichukua Affidavit ni sawa na pia Deedpol ni sawa.Mkuu mimi kwenye vyeti vyangu vya kidato cha nne na cha sita, majina ni mawili na initial katikati Yani (Juma A juma) ila cheti cha kuzaliwa na nida kimeandikwa (Juma Ali juma) je kwa case hii nahitaji kuwa na affidavit kuthibitisha umiliki wangu??
Vp mkuu ulikubaliwa na affidavit au ulisajili deedpoll?Habari za wakati huu wanajami mwaka jana mwezi wa 11 niliemda utumishi kwa ajili ya usahili lakini kutokana na changamoto ya majina katika vyeti vyangu nikalazimika kutafuta affidavit ili iwe msaada katika kutatua hilo na kweli nilifanikiwa kufanya usahili sasa siku ya jana utumishi wameita watu kazini kwa msaada wake mola na mimi ni miongoni mwa watu walioitwa kazini, naomba kuuliza ndugu affidavit ile ile nilionayo naweza kwenda nayo kwa mwajiri au kuna kitu kingine cha kuwa nacho tofauti na hiyo affidavit huwa na skia kuhusu habari za deedpoll na kujuzwa kuhusu hili jambo
Asante!
Okay,,ulifanikiwa kubadilisha Nida??Nilitafuta deedpoll mkuu, affidavit haina kazi kwa mwajiri
Sijabadilisha chochote nilichoamua nikukubali kutumia majina yaliyopo kwenye nida cheti cha kuzaliwa maana yako sawa na kukana majina ya kwenye vyeti vya taaluma kwaiyo taarifa zangu zozote natakiwa kutumia majina niliyoyakubaliOkay,,ulifanikiwa kubadilisha Nida??