Recent content by mihayohk

  1. M

    Bunge la Bajeti 2013/2014 kwanini iwe April badala ya Julai?

    Lengo kuu ni kuhakikisha kuwa fedha katika Taasisi za serikali zinaanza kutolewa mapema(tarehe 1 julai) bajeti mpya inatakiwa ianze kutumika tofauti na zamani ambapo mara nyingi fedha ilkuwa ikitolewa kuanzia mwishoni mwa agosti hadi mwanzoni mwa septemba.
  2. M

    laugh out loud loooooool

    Alijua anaombwa show nini?
  3. M

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Shukrani za dhati, sasa naipata channel ten.
  4. M

    Nataka niachane na mambo ya kuwa na Laptop niingie kwenye ulimwengu wa TAB ushauri

    Ushauri wangu, ukimuuliza kila mtu humu ndani atakupa sifa za divice anayotumia yeye ambayo inakidhi mahitaji yake na ambayo inaweza isikidhi mahitaji yako. Kitu cha msingi ni kugoogle aina mbali mbali za tablet kama vile ipad, samsung galaxy, htc na nyinginezo nyingi, angalia specification na...
  5. M

    Hapa kuna mapenzi kweli jamani?

    Umri wako na experience yako katika mahusiano tafadhali.
  6. M

    Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    It's better to let someone walk away than to let someone walk all over you.
  7. M

    Lyrics + Wimbo wa Kala Jeremiah: "Dear GOD" Hizi Hapa

    Nilimaanisha jingine, sio la kusoma lakusikia pengine Kusoma nimesoma jf na wengine, ni kusikia ndiko ninakotaka toka media zingine
  8. M

    Lyrics + Wimbo wa Kala Jeremiah: "Dear GOD" Hizi Hapa

    Sijabahatikakuusikia redioni ila kwa lyrics zilivyo inonekana ni bonge moja la ngoma.
Back
Top Bottom